Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

Prof. Uchwara, with his education what did he do during his tenure as President Mwinyi advisor? au kunywa gahawa tu na majungu, mtu wa majungu utamuona tu, whom does he fight? Deep Green au CDM?
We ndo uchwara, sasa huamini km chadema wako ni wafanya biashara na wamekumbatia rushwa? Km hujui muulize mdhamini wao mengi.
 
Ruthuku ni tatizo kubwa kwa vyama vya upinzani Tanzania. Ukombozi na sera ya mabafiliko yakiuchumi naiona kwa ACT tu.
 
Wakti siku zote hutoa nafasi ya kujua nani yuko upande gani.

Hebu fikiria chama fulani cha upinzani kingepata ushindi mika 5 iliyopita unategemea kungekuwa na mabadiriko ya maana kama mtu na PhD yake ana upeo finyu namna hii wa kujenga chama chake kwa kukumbatia Chama tawala kilichoshindwa??

Wakati siku zote hufichua watu waovu wenye hila nia mbaya ya kuendelea kutweza Watanzania makali ya maisha.

Yaani huyu Senior Bachelor Muhuni asiye na mke anaongea kama kaahidiwa demu bomba na CCM??

Kutumia muda mwingi Kushambulia chama cha CDM wakati Uovu wote Tanzania unafanywa na Serikali ya CCM inasaidia vipi kuwapa mwamko wananchi wa Tanzania?

CUF inapambana na CDM ili kutwaa madaraka yapi wakati CDM iko bench kama wao?? Au inapambana na CCM huku ikipinga yenyewe binafsi kama chama kwani ina hisa za ndani kwa ndani huko CCM??

Lakini hata hivyo CUF ime sign mkataba wa kiuchumi na kisiasa na chama cha CCM kwa kipindi cha miaka 5, CUF kuwashambulia CCM ni sawa na kuishambulia CUF yenyewe. Kwa vile ni lazima wanasiasa wa CUF kukishambulia chama fulani wakati wa mikutano ya kisiasa ili kuvuta hisia za wananchi kisiasa, CUF wanaona ni vema kukishambulia CDM ili kupoza hasira ya kukataliwa ndoa ya wake wawili.

Acha uoga. Hii habari ni ya miaka mi4 ilyopita. Ndiokusema umeishiwa hoja hadi unapasha moto kiporo kilicho chacha??. Ukawa ndio dawa yenu.
 
Mfufua uzi anajaribu kumuuliza bwana Lipumba, wale Wafanyabiashara wa Chadema bado wapo au wameshafilisika? Au ndio tubadili msemo sasa iwe "kimtokacho mtu mdomoni si haramu ila kiingiacho"?
 
I don't believe this rabish to have come from a prof. i suspect hawa ni wachafua hali ya hewa tu wamebuni.
 
Hii kitu iliandikwa.
Nina shanga-a wewe umeiona sasa

  • 22nd March 2011 18:57

Wakati waliounda UKAWA hata hawajachumbiana.
Ulikuwa hujazaliwa nini?
:becky::becky::becky:

  • By Madela Wa- Madilu
    Wakti siku zote hutoa nafasi ya kujua nani yuko upande gani.

    Hebu fikiria chama fulani cha upinzani kingepata ushindi mika 5 iliyopita unategemea kungekuwa na mabadiriko ya maana kama mtu na PhD yake ana upeo finyu namna hii wa kujenga chama chake kwa kukumbatia Chama tawala kilichoshindwa??

    Wakati siku zote hufichua watu waovu wenye hila nia mbaya ya kuendelea kutweza Watanzania makali ya maisha.

    Yaani huyu Senior Bachelor Muhuni asiye na mke anaongea kama kaahidiwa demu bomba na CCM??

    Kutumia muda mwingi Kushambulia chama cha CDM wakati Uovu wote Tanzania unafanywa na Serikali ya CCM inasaidia vipi kuwapa mwamko wananchi wa Tanzania?

    CUF inapambana na CDM ili kutwaa madaraka yapi wakati CDM iko bench kama wao?? Au inapambana na CCM huku ikipinga yenyewe binafsi kama chama kwani ina hisa za ndani kwa ndani huko CCM??

    Lakini hata hivyo CUF ime sign mkataba wa kiuchumi na kisiasa na chama cha CCM kwa kipindi cha miaka 5, CUF kuwashambulia CCM ni sawa na kuishambulia CUF yenyewe. Kwa vile ni lazima wanasiasa wa CUF kukishambulia chama fulani wakati wa mikutano ya kisiasa ili kuvuta hisia za wananchi kisiasa, CUF wanaona ni vema kukishambulia CDM ili kupoza hasira ya kukataliwa ndoa ya wake wawili.

Acha uoga. Hii habari ni ya miaka mi4 ilyopita. Ndiokusema umeishiwa hoja hadi unapasha moto kiporo kilicho chacha??. Ukawa ndio dawa yenu.
 
Hali hii inaonesha kuwa hata inapofika uchaguzi mkuu watanzania huwa wanasahau ufisadi wa ccm na kuipigia kura,maana kama haya maneno ya Lipumba wameshayasahau kabisa basi na ufisadi wa ccm pia utakuwa unasahaulika.
 
Kumbe wapuuzi mnafukua makaburi
Post ya mwaka 2011 mnaibaka mwaka huu?
Hahahahahaaaaaa
 
Hakuna asiye mfanya biashara hatawewe ni mfanyabisha ukishakuwa na Pesa au ukiwa na Pesa unaziweka kapuni kama ni ww
 
Na Benedict Kaguo, Pangani

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina nia thabiti ya kupambana na ufisadi kutokana kuchochea mgawanyiko wa Watanzania.

Alisema chama chochote cha siasa kilichoshindwa kuthamini matakwa ya wananchi wake hakina nia ya dhati ya kuwaletea ukombozi wa kweli wanaouhitaji Watanzania kwa sasa.

Profesa Lipumba alitoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Pangani katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho 'kuwazindua Watanzania katika kujenga demokrasia ya kweli hapa nchi'.

Alisema wafanyabiashara wa Chadema hawawezi kuongoza mapambano dhidi ya ufisadi kwa kuwa tayari wako katika mazingira ya kukumbatia rushwa, hivyo ni vigumu wao kuongoza mapambano hayo kama wanavyodai.

“Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa,” alisema Profesa Lipumba.

Alisema aliingia kwenye siasa kwa lengo la kuwasaidia Watanzania sio kutafuta sifa kama walivyo baadhi ya wanasiasa wa Chadema.

"Sikuingia kwenye siasa kutafuta sifa, nimeingia kutumia elimu yangu kuwatafutia ukombozi Watanzania wenzangu, sasa hawa Chadema hawawezi kuiondoa CCM kwa kuwa wanachochea mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa kuwatukana Wanzanzibari waliokubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa,” alisema Profesa Lipumba.

Awali, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bw. Julius Mtatiro alisema taifa linaangamia kwa kukosekana uongozi ulio madhubuti sasa ni wakati wa Watanzania kuzinduka ili uchaguzi mkuu ujao waweze kukipa ridhaa chama makini cha CUF.

“Maisha yamekuwa ya kubabaisha huduma za afya hospitalini mama zangu mnatakiwa mwende na nyembe mnapotaka kujifungua, serikali inashindwa kununua wembe lakini wakati wa uchaguzi inaweza kununua kitenge kwa kila mwanamke Tanzania nzima,” alisema Bw. Mtatiro.

Alisema wakati wa mabadiliko ndio huu na wananchi hawana budi kukiunga mkono chama hicho ili kiweze kuongoza mapambano dhidi ya rushwa, matumizi mabaya ya fedha za umma ili kuwakomboa wananchi.

uongo wako utakamata mipumbavu,, maana akili yako imeishia hapo -na wewe ndiyo miongoni mwa wanaokwamisha nchi hii kupiga hatua mbele ..
 
Kumbe wapuuzi mnafukua makaburi
Post ya mwaka 2011 mnaibaka mwaka huu?
Hahahahahaaaaaa

Kweli nimeamin nyan haoni kundule . Mbona thread za ZITTO nyingi to za 2009 mnazichimba na kuziweka hapa ilimpate hitajio lenu
 
Kweli nimeamin nyan haoni kundule . Mbona thread za ZITTO nyingi to za 2009 mnazichimba na kuziweka hapa ilimpate hitajio lenu

Tatizo la post ni kurejesha yaliyozikwa miaka ileee
Zitto ya kwake ndo yanakolea sasa
Kayaanza zamani kwa hiyo anakula mrejesho
 
Hawa ndio wanakazania tuunde nao baraza kivuli... kweli hii nchi kila mtu kamuoa mwenzie ....

Hawa CUF sio watu kabisa..,....Hawa jamaa hawafai kabisa na inabidi CHADEMA wakae nao mbali kabisa maana hawana mpango........Vigeu geu kama watoto

Hayo ndo matatizo ya ndoa ya mkeka kati ya CCM na CUF

Nina wasi wasi na Phd yake, sidhani kama anastahili kuitwa associate professor, sasa tumegundua kumbe siyo CCM tu ndiyo adui wa waTanzania ni pamoja na na hivi vyama vya ovyo ovyo kama CUF

CUF ni makahaba wa kisiasa, wapuuzwe tu kama changu doa wengine, wala viongozi wa CDM wasihangaike kujibu ----- wa Lipumba.Kila mwenye akili anajua CUF ni wakala wa CCM.

Tujifunze kuweka akiba ya meneno!
 
Hizi post za zamani zifutwe mods vip mnaleta uzi wa zamani kdogo nimzingue Profesa wng acheni ujinga wenu
 
Back
Top Bottom