Mtatiro, je Zanzibar kina mama hawaendi hospitali na viwembe? Ni bara peke yake? Huo uozo wa CCM upo upande mmoja tu wa nchi hii? Anayedharau hapa ni nani?
Chama Tawala? mbona hawana kauli yeyote katika serikali ya Znz? Hukumsikia Shein sikukuu ya mapinduzi kuwa wanatekaleza sera za CCM kwenda mbele na Maalim Seif akabaki anakodoa macho. CUF sio chama tawala ila ni hawara(concubine) wa chama Tawala.Kwa kuwa Cuf na ccm ni serikali. Mi naona ni sawa CUF kuwashambulia Wapinzani. Kwa sasa ni chama tawala(ccm/cuf..tlp,nccr) Vs upinzani cdm.) wako wako sawa tu.
Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa, alisema Profesa Lipumba.
Alisema aliingia kwenye siasa kwa lengo la kuwasaidia Watanzania sio kutafuta sifa kama walivyo baadhi ya wanasiasa wa Chadema.
"Sikuingia kwenye siasa kutafuta sifa, nimeingia kutumia elimu yangu kuwatafutia ukombozi Watanzania wenzangu, sasa hawa Chadema hawawezi kuiondoa CCM kwa kuwa wanachochea mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa kuwatukana Wanzanzibari waliokubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa, alisema Profesa Lipumba.
CUF ni chama ambacho kimeundwa ili kama CCM wakiwa na rais kafiri wale wasiotaka ongozwa na kafiri wanahamia huko. najua wengi watakasirika lakini siko hapa kuwaambia watu kile wanachopenda ila hiyo ni kweli. Alipokuwa mkapa CUF strong na huyu weak . Just wait 2015!
msomi akishachanganyikiwa ni bure, afadhali ambaye hajasoma lakini ni timamuMtamaliza matusi ote lakini Prof Ni msomi aliyebobea kwenye uchumi na ana uzoefu mkubwa sana na siasa za tanzania.
Ukweli unaumaaaaaa eheeeeeeee, badilikeni muwe na uso wa kitaifa sio ukanda, ukabila na udini.
Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa, alisema Profesa Lipumba.
PROF. LIPUMBA Kapoteza muelekeo kabisa wa kisiasa na kiuongozi, Kweli usipofikia malengo ya kisiasa unapagawa na kuchanganyikiwa kweli leo CDM wamekuwa mafisadi NYANGUMI na CCM ndio mafisadi PAPA? Hata kama mimi sio Prof. huyo Prof wa CUF kachemsha na ana wivu wa chama chake kupoteza muelekeo na nafasi yake kuchukuliwa na CDM. Ila wakumbuke wananchi ndio waamuzi na wanajua chama gani makini kwa sasa. Kujiunga na ccm ktk serikali na kuwa kitu kimoja Bungeni.