Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,933
- 288,062
Siku tutasikia profesa kapigwa mawe , hii ni soo .Hii ni hatari sana
Labda nayeye muda ukifika ataenda kuvitupa vile vipande therathini hekaluni.Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
mbona huongelei madiwani wa cuf jiji la tanga kukubali kufanya kazi na ccmUongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Mbona hauji kujibu hoja kule kwenye uzi wa....Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Nani kakudanganya ? Ngoma ya umeya Tanga bado mbichi sana .mbona huongelei madiwani wa cuf jiji la tanga kukubali kufanya kazi na ccm
Karibu kwenye uzi wa...ASANTENI WANA TANGA!,ASUSIWE KILA AENDAPO.
:-asipate wa kumpokea,ajipokee mwenyewe..!
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Wewe, mbona bado hujajitoa mpaka leo?Nani kakudanganya ? Ngoma ya umeya Tanga bado mbichi sana .
Waendelee na msimamo huo huo! Lipumba atanyooka tu hata atumikeje!Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .