Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ambaye pia ni mgombea wa maisha wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho cha makabwela leo ameamua kuwa muwazi na kuweka wazi itikadi ya chama chake alipowataka WAISLAM nchini kutoandamana kesho.
Lipumba amesema wao (CUF) wameamua kujitwika dhamana ya kushughulikia suala la Ponda mpaka muafaka upatikane.
Source: ITV news, saa mbili usiku. Unaweza kutazama marudio saa 5 usiku.
Ni imani yangu kuwa waislamu waliogoma kumsikiliza Mufti na Sheikh mkuu wa Mkoa wa DAR sasa watatulia baada ya kupata kauli ya Kiongozi wao wa Kitaifa (Lipumba).
Kwa upande mwingine sasa naanza kuamini kuwa Ponda ni utambi tu, mafuta ya taa ndio haya yalioamua kuchukua jukumu sasa.