Lipumba anatafuta nini? Mbona anaiandama CHADEMA kiasi hiki?

Watabwabwaja sana, na kuzidi kukipa umaarufu chadema, na Mungu azidi kuwafungua watanzania wajue ukweli , uhuru na haki zao.Pipos power, go on chadema mpaka kieleweke , hawalali wala hawasinzii watajuta kuchakachua kura zetu.
 
LiPUMBA umeishiwa sera. Na unataka kuleta machafuko tu! Swala udini ni swala pana sana. Ambalo linaweza kuleta mgogoro mkubwa katika nchi. Tunaomba utupe evidence utakavyotmia kma ushahidi kwmba chdm wanaudini. Na ww huna bora ila swala angeongea mwnyekiti wa tlp.lakini siyo .cu you f(cuf)
 
Amefulia,hana sera na sasa amenunuliwa kuponda sera za cdm,kama ccm walivyoiponda CUF chaguzi za nyuma kuwa ni chama cha dini ,ukabila,upemba na uzanzibari na ubara hatimae CUF ikadhoofika na sasa umeungana ccm kuwa kitu kimoja kama huko zanzibar,mnafiki wala si mpinzani wa kweli.
 
Wakati mwingine nashindwa kuelewa wasomi Tanzania huugua nini, mfadhaiko wa aina gani huu? Unawezaje kuitwa Profesa ukawa mjinga kiasi hiki? Huku ni kusoma bila kuelimika au ni nini haswa? Uchu wa madaraka uliopita kiasi au ni mfadhaiko wa kisiasa baada ya kugombea sana Uraisi?? Ningetegemea mtu mwenye akili timamu mwenye umri wa miaka 40 tu tena mwenye elimu ya form four anayeishi maisha ya kistaarabu na mwenye familia hawezi kuongea uchafu kama huu kwa jamii ya kitanzania bila kuwa na uthibitisho sembuse profesa. Sasa amekuwa jipumba!
 
Lipumba ni mtu mnafiki sana,alishindwa kufika mikoa ya bara wakati wa uchaguzi leo anafanya ziara iliyofadhiliwa na nani? Na kwa nini anawazungukia nduguze tu bila kwenda mwanza,ukerewe,kagera au mbeya. Tunapoelekea Lipumba na rais wake wakiendelea kuhubiri udini itabidi tudai uhuru wa majimbo sasa. Tutafika hapo endapo ccm itaendelea kuwatumia Vilaza kuhubiri udini! Inashangaza sana TBC1 wanampa airtime dk1 mpaka3 wakati wa habari,na upinzani hausikiki kabisa! Hapa unaona nini? Pia fikiria Lipumba ameanzisha OPERATION ONDOA KERO. Hapo hapo mkuu wa wilaya Kwimba,leo Tbc1 ameonekana anakampeni OPERATION hiyo hiyo. Sasa Lipumba na mafisadi wenzie naona wameamua kuungana kwa njia mbali mbali. Nasikitika kufikia mwaka 2015 tutakuwa tunasema aliyekuwa mwanasiasa mh.lipumba. Anapotea kijanja janja na mwisho wake ni mbaya kwa kumtetea aliyempa ilani ya Cuf yule jk.
 
Nitarudia kwa mara nyingine na nyingine tena wala sitochoka!
Kwani tukichoka kuwaambia kwamba hivi ndivyo na vile sivyo kuna ubaya gani?
Kuna mengi hamtaki kuyaangalia bali MNATAZAMA MAPENZI YALIKOWAPELEKA...
FUMBUENI MACHO MUUONE UKWELI... HATA KAMA YOTE NI MAYAI... MENGINE HAYALIWI NA MENGINE NI VIZA!!
HATA KAMA YANAFANANA RANGI NA UMBILE!

Ndio maana wengi wetu TUNAISHIA KUTOA KASHFA na MATUSI badala ya Kusimama kidete na KUTETEA HOJA!
 
Chadema we warned you! we warned you!

Mikutano mingi ya chadema mliwatukana na mmewatukana sana CUF kuwa ni CCM B, mmenda mbali sana kuwatukana na tuliwaonya sana humu that is not good. Tulitukanwa na tutaendelea kutukanwa humu kwa sababu ya kusimamia ukweli..CDM, CUF is none of your business please stay away from them wamewashinda kila kitu ikiwamo mdomo mkubwa!

Sasa yanawarudia mnataka Lipumba aonekane mchokozi au mjinga

Mwanamageuko amewaambia vizuri tu hapo juu kuwa hatuna vyama vya upinzani , haviko vimeishuana, kuna watu wanamtumaini na kumwamini sana Lipumba, hawa watu ni aghalabu leo akawapigia au kuwa support chadema kwa namna yoyote ile!

Sasa katika situation kama hizi nani anayeathirika? ni CDM, CUF, waberoya??

CDM walilikoroga na inabidi walinywe, ujinga wa members wengi wa CDM Ni kutowakosoa viongozi wao wanapofanya makosa kama haya

CDM waliwatukana na wanawatukana sana CUF kila kona, mnataka CUF wafanye nini?

CUF wanathibitishia umma wa watanzania kuwa nao ni walewale tu kama CDM tu! wote hamna akili! vita inatakiwa ielekezwe CCM nyie mnatukanana kila kukicha!
 
Wakuu habari za weekend?

Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza dondoo za gazeti la Mwananchi na nikasikitishwa na habari moja.Ni kwamba huyu jamaa wa CUF aliyegombea urais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania mara nne mfululizo bila mafanikio kaibukia tena mkoa wa Lindi na safari hii amewaambia wakaazi wa huko kwenye mkutano wa hadhara kuwa CHADEMA ni chama cha kuogopwa kama ukoma kwa vile kinawagawa watanzania kwa misingi ya dini zao, makabila yao na kanda zao.

Hakuishia hapo bali alienda mbali zaidi na kuapa kwa mara nyingine kuwa chama pekee kinachopendwa na watanzania wa rika zote wakiwemo mafisadi wa CCM na hata hao CUF, CHADEMA, hakitachukua dola.

Sasa naomba tuliangalie hili kwa mapana na marefu; huyu Lipumba karogwa au amekubali makusudi kununuliwa kwa bei chee na chama cha mafisadi (CCM)?

WAKUU NAOMBA KUWASILISHA

hakuna haja ya kumjadili mtu ambaye hana mke wala mtoto wa kusingiziwa.
 
Chadema we warned you! we warned you!

Mikutano mingi ya chadema mliwatukana na mmewatukana sana CUF kuwa ni CCM B, mmenda mbali sana kuwatukana na tuliwaonya sana humu that is not good. Tulitukanwa na tutaendelea kutukanwa humu kwa sababu ya kusimamia ukweli..CDM, CUF is none of your business please stay away from them wamewashinda kila kitu ikiwamo mdomo mkubwa!

Sasa yanawarudia mnataka Lipumba aonekane mchokozi au mjinga

Mwanamageuko amewaambia vizuri tu hapo juu kuwa hatuna vyama vya upinzani , haviko vimeishuana, kuna watu wanamtumaini na kumwamini sana Lipumba, hawa watu ni aghalabu leo akawapigia au kuwa support chadema kwa namna yoyote ile!

Sasa katika situation kama hizi nani anayeathirika? ni CDM, CUF, waberoya??

CDM walilikoroga na inabidi walinywe, ujinga wa members wengi wa CDM Ni kutowakosoa viongozi wao wanapofanya makosa kama haya

CDM waliwatukana na wanawatukana sana CUF kila kona, mnataka CUF wafanye nini?

CUF wanathibitishia umma wa watanzania kuwa nao ni walewale tu kama CDM tu! wote hamna akili! vita inatakiwa ielekezwe CCM nyie mnatukanana kila kukicha!
Penye rangi! Imebidi nicheke kwa maana hapo BUSARA IMEHAMA MTAA!!! hapana mwenye nafuu baina yao... wote ni walewale kama PIMBI NA PANYA! ni kwamba mmoja ana mkia mwingine HANA! WOTE PANYA!!

mbaya zaidi: NI KUWA WAO HAWAPATANI WALA HAWAKUBALIANI!!! NA WAPENZI NA WANACHAMA WAO HAKUNA ANAEONA KWAMBA HILO LINAWAATHIRI! IPO SIKU KWA MTINDO WAO HUO WATAJUA "MWAGA UGALI NIMWAGE MBOGA, HUWALAZA NJAA WAHUSIKA!" Iko siku na siku yenyewe haiko mbali... Kikubwa tuombe uzima tu!

NA HAPO TUTALETEWA NYIMBO MPYA.....
 
Nitarudia kwa mara nyingine na nyingine tena wala sitochoka!
Kwani tukichoka kuwaambia kwamba hivi ndivyo na vile sivyo kuna ubaya gani?
Kuna mengi hamtaki kuyaangalia bali MNATAZAMA MAPENZI YALIKOWAPELEKA...
FUMBUENI MACHO MUUONE UKWELI... HATA KAMA YOTE NI MAYAI... MENGINE HAYALIWI NA MENGINE NI VIZA!!
HATA KAMA YANAFANANA RANGI NA UMBILE!

Ndio maana wengi wetu TUNAISHIA KUTOA KASHFA na MATUSI badala ya Kusimama kidete na KUTETEA HOJA!

Asante mwanamageuko

unajua wengi humu wamejaa ushabiki wa kijinga kupita kiasi

matusi walianza chadema sasa mawe yanawarudia

ILitakiwa wapenzi wa chadema wawaonye viongozi wao kutowatupia matusi CUF na kujikita kuwakosoa CCM n akuuza sera na kuipanda chadema mioyoni mwa watu

Leo chadema wana maaudi wengi wakiwamo CCM na vyama vingine... wamefanikiwa kuwadanganya umma wa watanzania kuwa failure yao inatokana na maadui wengi wakati wao ndio waliowatengeneza

Kesho Mbowe akishalipa madeni yake na kupata mitaji kupitia ruzuku ndiyo atakiacha chama na kuwaacha hawa wengine solemba.

Ikifikia muda huo wengi tutaishia kukumbukw kwa aibu tu!!

Kila siku unafanya kazi ya kuonya chama fulani kwa mengo mazuri ukiamini kwa sababu wako kisiasa basi watakuelewa haraka.

Lakini kila siku tunashuhudia blunders za kisiasa zingine ni very historiacal zinafanywa na mwisho wa siku unajiuliza hivi vyama kweli vina malengo ya kutukumboa

Kuna mingine inatoa mapovu humu kumtukana waberoya na kusahau kuwa challengi zetu zinamaanisha wakue na kuleta mabadiliko.

Huu ni unafiki mwingine ambao tunawajua, tunawaona na wengine

WAZENI KIKUBWA JAMENI, IMPACTS ZA MANENO YA AKINA LIPUMBA NI KUBWA MNO KWA CHAMA CHENU...KAMA MNA AKILI BASI KIKUBWA MLICHOTAKIWA KUFANYA NI KUZUIA YASITOKEE KWA KUWAONYA VIONGOZI WENU WASIWATUKANE CUF!

Katika hili mtatukana sana na ikifikia wakati wa kuona CUF iliishawahi kuwa chama kikuaa cha upinzani ndio mtagundua kuwa the future of these parties is very questionable!
 
Lipumba ni mmoja wa wanasiasa wengi sana waliofeli kusoma alama za nyakati
 
hakuna haja ya kumjadili mtu ambaye hana mke wala mtoto wa kusingiziwa.
Huu ndio ukosefu wa hoja!
Na hii ni athari nyingine....
kwa mfano sisi tunaposemea ubovu wa hivi vyama vyenu huwa tunaweka hoja na hatujaona zikibomolewa!!
Ningelikuwa ni mimi mwanachama wa vyama vyenu hivi vya siasa NINGELIWASHAURI VIONGOZI WANGU WASISHUGHULIKE NA HIYO MIPASHO KWA SABABU HAITAJENGA NA MWISHO WA SIKU NDIO MAAFA YENYEWE. WIMBO UKIPIGWA SANA HATA KAMA NI MBAYA UTAZOELEKA! MIAKA MITANO NI MICHACHE SANA LAKINI KWA WIMBO NI MINGI SANA!
MWISHO WA SIKU UTAMKUTA MJUKUU ANAMWIMBIA MKWEO WIMBO HUO, KWA SABABU AMEUZOEA (KUMBE NI MATUSI!)
Ndugu yangu Waberoya aliwatahadharisha, HAMKUSIKILIZA WALA KUZINGATIA KWA SABABU ALISEMA AMBAYO MASKIO YA WENGI HAYATAKI KUSIKIA... INGELIKUWA AMEWASIFU AAAH RAHA BURUDANI. TUNAHITAJI VYAMA VYENYE NGUVU SI HUU UBABAISHAJI WA HUYU KAMSEMA YULE HUYU NAE ANAJIBU HUKU... MWISHO WA SIKU MTADAI MMEIBIWA!! JE NANI ANANUFAIKA NA HUO UJINGA WA CDM NA CUF?
 
hakuna haja ya kumjadili mtu ambaye hana mke wala mtoto wa kusingiziwa.

Ndiyo tunachokisema hapa! bahati mbaya cdm-jf wengi mnafuata mkumbo sijaona kati yenu mkali na analeta discpline kwa vilaaongozi wenu na kwa ninyi wenyewe.

Sasa kwa ulilosema hapa, mtu akielekeza mashambulizi kwa Slaa utayajibuje??

Mtu akisema Slaa ana alishindwa upadri, hawezi kutongoza na akaamua kuiba mke wa mtu unaweza ku-stand hapo? au kuwa kumbe Slaa ana watoto wa kusingiziwa ambao aliwapata akiwa padri? Is it not possible kama akionekana very threat wakamtungia kesi ya child molestation! maana mapadri wengi sana wamepatikana wakiwafanyia ukatili watoto! unajua wanaweza kumtayarisha mtoto na akakiri hivyo na kuchafua image ya Slaa forever hata kama imepikwa?!! why ar yiu trying to make statements ambazo zikikurudia utatoa povu!
YOU GUYS DO YOU KNOW POLITICS IN REAL SENSE!!!! do not ever make any unnecessary enemity! NEVER!!! IF CUF IS NOT STANDING ON CDM's way why bother???

you see your statements making CCM laugh louds at you guys!!

Mlianza wenyewe!
 
siyo kila mtu anayekuwa na mtizamo tofauti na wewe ni chadema. sawa mjomba/aunt? changanya akili kidogo kabla ya kutoa hoja.
 
Lipumba ni mmoja wa wanasiasa wengi sana waliofeli kusoma alama za nyakati

kama cheyo.

damu changa jana wamemshusha jukwaani. sijui atasema nao chadema? read the alama za nyakati you old people!!!
 
Asante mwanamageuko

unajua wengi humu wamejaa ushabiki wa kijinga kupita kiasi

matusi walianza chadema sasa mawe yanawarudia

ILitakiwa wapenzi wa chadema wawaonye viongozi wao kutowatupia matusi CUF na kujikita kuwakosoa CCM n akuuza sera na kuipanda chadema mioyoni mwa watu

Leo chadema wana maaudi wengi wakiwamo CCM na vyama vingine... wamefanikiwa kuwadanganya umma wa watanzania kuwa failure yao inatokana na maadui wengi wakati wao ndio waliowatengeneza

Kesho Mbowe akishalipa madeni yake na kupata mitaji kupitia ruzuku ndiyo atakiacha chama na kuwaacha hawa wengine solemba.

Ikifikia muda huo wengi tutaishia kukumbukw kwa aibu tu!!

Kila siku unafanya kazi ya kuonya chama fulani kwa mengo mazuri ukiamini kwa sababu wako kisiasa basi watakuelewa haraka.

Lakini kila siku tunashuhudia blunders za kisiasa zingine ni very historiacal zinafanywa na mwisho wa siku unajiuliza hivi vyama kweli vina malengo ya kutukumboa

Kuna mingine inatoa mapovu humu kumtukana waberoya na kusahau kuwa challengi zetu zinamaanisha wakue na kuleta mabadiliko.

Huu ni unafiki mwingine ambao tunawajua, tunawaona na wengine

WAZENI KIKUBWA JAMENI, IMPACTS ZA MANENO YA AKINA LIPUMBA NI KUBWA MNO KWA CHAMA CHENU...KAMA MNA AKILI BASI KIKUBWA MLICHOTAKIWA KUFANYA NI KUZUIA YASITOKEE KWA KUWAONYA VIONGOZI WENU WASIWATUKANE CUF!

Katika hili mtatukana sana na ikifikia wakati wa kuona CUF iliishawahi kuwa chama kikuaa cha upinzani ndio mtagundua kuwa the future of these parties is very questionable!
waberoya

Nimejaribu sana kukwepa kukujibu kwasababu unachoongea ni nadharia zaidi ya vitendo!!! na daima nadhari ni nzuri yenye harufu nzuri sana ya manukato kama tusomavyo kuhusu mbingu au peponi, kila kitu ni perfect... katu haiwezi kuwa hivyo na hasa kenye tanzania nchi ambayo maskini wanaongezeka na hali ni mbaya sana...

Mimi binafsi siungi mkono matusi baina ya wapinzani lakini ukae ukielewa kwamba sometimes hayaepukiki, kwasababu
CUF has detached from fighting a common enemy, that is CCM, na wamejiattach na huyo common enemy... kumbuka slaa alishawahi kusema kwamba zanzibar wanawasapoti kafu!!! HIVI WANGESEMA WATAISAPOTI CCM SI WATU TUNGEJISAIDIA MITAANI?
wahenga walisema never argue with a fool, people might not notice the difference... SASA LIPUMBA HAONI KWAMBA ANARUDI KULEKULE KWENYE STORI YA WAPUMBAVU WAWILI NA KIOO?
CCM sasa hivi wanalumbana hadi na vivuli vyao, hii utake usitake imeondoa ile vita baina ya vyama vya upinzani na CCM kwani kama nakuja kwako kupambana na wewe na nikakutana wewe na mkeo mnachapana makonde, basi mie ntasimama, ntaangalia ntaenda zangu nije siku ingine mmepatana

sasa basi, you played your part on advising CDM na viongozi wao, wenye akili walikusikia na nina imani si viongozi wote wa CDM wanakandya kafu na you can even document incidences ambazo CDM walikandya chadema, na kubwa zaidi ni ile ya kubadili sheria bungeni ili kafu wapate kuwa na decision making kwenye kambi ya upinzani, and guess what... KAFU AND CCM WERE AGAIN IN TEH HOLY MATRIMONY WAKIKAZIA NDOA YAO
mimi sielewi kabisa mwenye matatizo ni yule aliyefunga ndoa na adui yake au kaka anayemgombeza dada kwa kuolewa na adui wao wa ukoo?

WABEROYA, UNA HOJA ZA MSINGI NA MARA NYINGI YOU ARE VISIONARY AND WAY FAR MORE THAN 75% YA WANAJF KWENYE UCHAMBUZI WA KISIASA, LAKINI KUMBUKA KWAMBA WEWE, AND PROBABLY ME NI MINORITY, UNACHOONA HUMU NDICHO KILICHOPO MITAANI... HAUISHI BONGO WEWE, UNGEISHI HAPA TUKAKUTANA CHADIBWA NA KANGA MOKO UNGENIELEWA... UNACHOONA HUMU NDCHO KILICHO MITAANI

KUNA NCHI AFRIKA DJ ALICHUKUA NCHI TENA AKIWA MAAMUMA, SABABU KUBWA NI WATU KAMA WEWE, WATASHI WASOMI NA WANASIASA WALIPOSAHAU KWAMBA KUNA IDEAL SITUATION NA REAL SITUATION

VIJANA WENGI WAKO KWENYE REAL SITUATION NA WAZEE NA WENGINE WAPO KWENYE IDEA SITUATION

THE ONUS IS ON ALL TANZANIANS WITHOUT UBAGUZI
 
kama cheyo.

Damu changa jana wamemshusha jukwaani. Sijui atasema nao chadema? Read the alama za nyakati you old people!!!
nilikutana na maalim sefu na walinzi bassi alikua anakenua meno huwezi amini ndiye yule tuliyekua naye kwa commoners

cheyo naona ni wa kumdharau tu, ana sifa ya tapeli la kimataifa yule

he is just a waste of time
 
siyo kila mtu anayekuwa na mtizamo tofauti na wewe ni chadema. sawa mjomba/aunt? changanya akili kidogo kabla ya kutoa hoja.
Hili ndilo la msingi

na ni vyema kujua sio kila anayeisapoti chadema ni mwanachadema... wengine ni watanzania wanaongana na watanzania wengine wanaishi kwenye mateso yaliyokubuhu
 
Ndiyo tunachokisema hapa! bahati mbaya cdm-jf wengi mnafuata mkumbo sijaona kati yenu mkali na analeta discpline kwa vilaaongozi wenu na kwa ninyi wenyewe.

Sasa kwa ulilosema hapa, mtu akielekeza mashambulizi kwa Slaa utayajibuje??

Mtu akisema Slaa ana alishindwa upadri, hawezi kutongoza na akaamua kuiba mke wa mtu unaweza ku-stand hapo? au kuwa kumbe Slaa ana watoto wa kusingiziwa ambao aliwapata akiwa padri? Is it not possible kama akionekana very threat wakamtungia kesi ya child molestation! maana mapadri wengi sana wamepatikana wakiwafanyia ukatili watoto! unajua wanaweza kumtayarisha mtoto na akakiri hivyo na kuchafua image ya Slaa forever hata kama imepikwa?!! why ar yiu trying to make statements ambazo zikikurudia utatoa povu!
YOU GUYS DO YOU KNOW POLITICS IN REAL SENSE!!!! do not ever make any unnecessary enemity! NEVER!!! IF CUF IS NOT STANDING ON CDM's way why bother???

you see your statements making CCM laugh louds at you guys!!

Mlianza wenyewe!
good one but punguza hasira mkuu
 
Back
Top Bottom