Lipumba anatafuta nini? Mbona anaiandama CHADEMA kiasi hiki?

CCM walishawahi kuisambaratisha CUF kwa kukiita chama cha kidini.Maskini kilaza LIPUMBA anajaribu kukopy na kupaste.
 
ccm wameamua kuwatumia cuf na waislam kwa wakati mmoja ili kuidhofisha cdm wakijua kwamba cuf sehemu kubwa inaungwa mkono na waislam,lkn mungu anaona
 
Unajua sasa hivi kila mtu anazuia eneo lake mwenzake asifike. Unaona chadema wanaongeza nguvu majimbo yao ili yasipoteze umaarufu. Wacha na lipumba atumie analojua kulinda ngome zake zanzibar na pwani ili chadema wasifike. Waislam nao maeneo yenye waislam wengi wanaweka ngome chadema isifike. ibaki sehemu chache wanyang'anyane na CCM. Bila kufanya hivyo chadema ikifika lindi maana yake imechukua nchi. hilo ndo halitakiwi kwa sasa. wana protect
 
baada ya kumwaga pumba zote sasa naona hata sera nazo zimemwishia. ngoma hiyo inasubiri kupasuka tu, wala siku si nyingi
 
Back
Top Bottom