Lipumba anatafuta nini? Mbona anaiandama CHADEMA kiasi hiki?

Huna lolote uzushi tu. Kama una data za uongo lete tuzione. Mwehu we.
 
Anatekeleza muafaka kwa vitendo .

Ajue kuwa kuna siku zitawekwa hapa taarifa zake za kikao kilichofanyika Bagamoyo siku ambayo alikuwa na mkutano Tabora mjini na akalazimika kurejea DSM Kwa ndege ya serikali na baada ya hapo alienda Bagamoyo na kukutana na JK na viongozi kadhaa wa dini , na alirejeshwa uwanja wa ndege saa saba na nusu mchana na kusafirishwa kwa ndege ya serikali hadi Tabora.

Nitamwaga data zake hapa ndipo mtajua kuwa anafanya kazi gani mpaka sasa.

kwa leo naishia hapo.

kwa vile ukweli unapendwa japo unauma,kaka we mwaga tu ..tupe habari hzo ndo point za kujengea hoja,wape wenye kuzirahi na wazirahi,Aalhaaa!
 
wakuu mi napata tafrani pale hoja zinapotumwa jamvini maana naona hoja inapoletwa wote mnaipa nguvu ya kutosha na mwandishi wa hoja yoyote ile kuhusu kuitetea cdm ndio inayopewa kipaumbele, je hii jf ni ya cdm pekee au kulikoni?
prof anatakiwa aulizwe atoe evidence kwa yale anayosema (labda kweli cdm ni ya kanisa) kwa nini muwe wakali wa kumtolea maneno tu ? ni mara ngapi mmekua mkiwachukulia waislam kama wapumbavu wasiotaka hata kusikilizwa, inanikumbusha ililetwa hoja hapa jamvini siku kadhaa zilizopita hawa waislam (walishambuliwa hapa jamvini na mwingine kusema hivi sasa wako msikitini wamelala unawaambia kwani wanayajua haya) kama hapa jamvini 90% ni cdm na ndio mnaongoza kwa kuwafanyia mzaha waislam na kutokuwaheshim mnawapa kipaumbele kina nani ?(hoja ya wananchi wote siyo kweli mbona baadhi mnawaona vilaza) daima kuna maneno mawili tu reality(true /false) na hakuna kati ya haya. kama mnawatusi na kuwadharau hawa( ni lazima mnawaheshimu na kuwatukuza wale) na hapo ndipo manasema hamna udini wakati ninyi ndo wadini wakubwa (nawapeni ukweli mliyoficha vifuani mwenu kwa hakika ni makubwa kuliko mnayoyatoa midomoni mwenu) kazi kwenu
siku njema.
 
kwenye forums kama JF hakuna kipaumbele, ni freedom ya expression na inategemea wanapitia forum wengi wako upande gani

pamoja challenges zote JF bado ni huru, niikandya cdm na watu wakanipinga nitawaelewa kwani wana mawazo yao na siyo yangu... who knows kama JF inarepresent true picture ya watanzania wengi huko mitaani

UMESHAJARIBU KWENDA KWENYE PUBLIC PLACE HATA DALADALA NA KUJARIBU KUKANDYA CHADEMA UKAONA REACTION??... Well mimi na rafiki yangu tulijaribu kwa makusudi
tulipita rose garden, africenter, kimara resort, mbezi garden na hongera bar... tulikoma!!! waweza hata wewe kujaribu, lazima utakubaliana na mimi kwamba JF ni kipimajoto kizuri sana
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Nitarudia kwa mara nyingine na nyingine tena wala sitochoka!
Kwani tukichoka kuwaambia kwamba hivi ndivyo na vile sivyo kuna ubaya gani?
Kuna mengi hamtaki kuyaangalia bali MNATAZAMA MAPENZI YALIKOWAPELEKA...
FUMBUENI MACHO MUUONE UKWELI... HATA KAMA YOTE NI MAYAI... MENGINE HAYALIWI NA MENGINE NI VIZA!!
HATA KAMA YANAFANANA RANGI NA UMBILE!

Ndio maana wengi wetu TUNAISHIA KUTOA KASHFA na MATUSI badala ya Kusimama kidete na KUTETEA HOJA!

sasa hayo maneno yako ndio hoja?.
 
waberoya

Nimejaribu sana kukwepa kukujibu kwasababu unachoongea ni nadharia zaidi ya vitendo!!! na daima nadhari ni nzuri yenye harufu nzuri sana ya manukato kama tusomavyo kuhusu mbingu au peponi, kila kitu ni perfect... katu haiwezi kuwa hivyo na hasa kenye tanzania nchi ambayo maskini wanaongezeka na hali ni mbaya sana...

Mimi binafsi siungi mkono matusi baina ya wapinzani lakini ukae ukielewa kwamba sometimes hayaepukiki, kwasababu
CUF has detached from fighting a common enemy, that is CCM, na wamejiattach na huyo common enemy... kumbuka slaa alishawahi kusema kwamba zanzibar wanawasapoti kafu!!! HIVI WANGESEMA WATAISAPOTI CCM SI WATU TUNGEJISAIDIA MITAANI?
wahenga walisema never argue with a fool, people might not notice the difference... SASA LIPUMBA HAONI KWAMBA ANARUDI KULEKULE KWENYE STORI YA WAPUMBAVU WAWILI NA KIOO?
CCM sasa hivi wanalumbana hadi na vivuli vyao, hii utake usitake imeondoa ile vita baina ya vyama vya upinzani na CCM kwani kama nakuja kwako kupambana na wewe na nikakutana wewe na mkeo mnachapana makonde, basi mie ntasimama, ntaangalia ntaenda zangu nije siku ingine mmepatana

sasa basi, you played your part on advising CDM na viongozi wao, wenye akili walikusikia na nina imani si viongozi wote wa CDM wanakandya kafu na you can even document incidences ambazo CDM walikandya chadema, na kubwa zaidi ni ile ya kubadili sheria bungeni ili kafu wapate kuwa na decision making kwenye kambi ya upinzani, and guess what... KAFU AND CCM WERE AGAIN IN TEH HOLY MATRIMONY WAKIKAZIA NDOA YAO
mimi sielewi kabisa mwenye matatizo ni yule aliyefunga ndoa na adui yake au kaka anayemgombeza dada kwa kuolewa na adui wao wa ukoo?

WABEROYA, UNA HOJA ZA MSINGI NA MARA NYINGI YOU ARE VISIONARY AND WAY FAR MORE THAN 75% YA WANAJF KWENYE UCHAMBUZI WA KISIASA, LAKINI KUMBUKA KWAMBA WEWE, AND PROBABLY ME NI MINORITY, UNACHOONA HUMU NDICHO KILICHOPO MITAANI... HAUISHI BONGO WEWE, UNGEISHI HAPA TUKAKUTANA CHADIBWA NA KANGA MOKO UNGENIELEWA... UNACHOONA HUMU NDCHO KILICHO MITAANI

KUNA NCHI AFRIKA DJ ALICHUKUA NCHI TENA AKIWA MAAMUMA, SABABU KUBWA NI WATU KAMA WEWE, WATASHI WASOMI NA WANASIASA WALIPOSAHAU KWAMBA KUNA IDEAL SITUATION NA REAL SITUATION

VIJANA WENGI WAKO KWENYE REAL SITUATION NA WAZEE NA WENGINE WAPO KWENYE IDEA SITUATION

THE ONUS IS ON ALL TANZANIANS WITHOUT UBAGUZI

Asante MTM

Kumbe unaweza kuandika post ndefu hivi!!!! aha! haa

Asante kwa hoja nzuri na nimejisikia vizuri kujibizana kwa upendo na hoja ndani ya JF niliishasahu hili siku nyingi sana, kweli kubwa dawa

Kwanza niko nchini mkuu, niliisharudi kitambo kidogo na ninaishi mbagala ambako kuna kila aina ya matukio yakiwemo ya simba; dont call tourists!

Ni kweli ulichosema, hata mimi NAONA ulichonifurahisha ni KUSEMA UNAYAONA MTAANI , hapo tu nimekukubali , hata mimi siyaandiki ili mradi mkuu naandika kila kinachotokea mtaani

Naweza nikakupa experience yangu ya siasa, nilimpigia sana kampeni Halima Mdee nikiwa bado sijamaliza kibanda changu Mbagy ( mbagala hiyo mkuu) kipindi naishi kawe. Tulifanya vizuri na leo mdee unajua ni nani. Niligombana naye kwa matusi aliyokuwa akitoa kwa mbatia... sikuishia hapo niliwashauri kama chama kuwa matusi kwa vyama vingine haya busara wala hayaleti tija, chadema kimejitosheleza na kinajisimamia why bother kuhusu wengine!

Nilipoenda kwenye kona mbalimbali za hapa nchini nikagundua tatizo la watanzania wengi kwanza kukubali na kuamini kirahisi uongo, pili kwa sasa hivi tuhuma za udini juu ya chadema ziko juu mno upande wa kisiasa kwa mfano kwetu Mbagy ni vigumu sana ukamweleza mtu kuhusu chadema akakuelewa. Chadema inazungumzwa misikitini, kwenye mihadhara na hata mashuleni ...sekondari ya Thaqlain ni mfano mzuri watoto wanafundishwa chuki juu ya chadema!! inauma sana, ukili-adress hili humu na kulaumu uongozi wa cdm uchukue hatua..mama yangu!

Ukija kwenye JF unaposema ukweli wa kinachotokea mtaani na jinsi gani CDM wafanye tunaishia matusi tena mabaya, samahani kuwa kuna wengine kweli siyo wanachadema, ILA UKWELI NI KUWA WANACHADEMA WENGI HAWAJAFIKIA UWEZO AU KIWANGO CHA KU-QUESTION VIONGOZI WAO katika mambo mengi na hii nayo inaturudisha nyuma katika swala zima ukuaji wa siasa, viongozi wanakuwa miungu watu, mitume na ukionekana una mawazo tofauti basi ukubali kutukanwa sana tu, hii inawafanya wengi wapinzani kuwa sawa kabisa na CCM. Na wengi wa members hao ni wale waliojiunga karibuni hasa 2010!

MTM inauma sana kuwa post zako zote humu JF zikiwemo zangu na zile zisilete matunda fulani katika jamii, inabidi CCM waondoke yes, ila inabidi tujipange sana ni vita hii

Nimewalaumu CUF na CDM na kuna siku niliandika wakiendelea hivi wanunue sana na majeneza hawatufai! na nitasimamia hapo kuwa majibizano yao ni ufaisadi mwingine tu, maana tumaini la watu kuindoa CCM liko kwao. japo CUF-bara najua wameishasalitiwa na CUF-visiwani! interesting!
 
Naanza kuamini maneno Yan Ben Mkapa. Wakati Ben bado raisi aliwahi kusema kwamba watanzania wana wivu wa kike, ingawa sikukubaliana naye moja kwa moja kwa kuwa mimi sina wivu wa namna hiyo lakini huyu lipumba na pumba zake anaonyesha kuwa na wivu wa kike kwa kuwa umaarufu wa CHADEMA umepanda na CUF kuachwa nyuma kwa mbali
 
Wakiambiwa wao ni CCM B wanamwaga mafuriko ya mate kwa hasira.....sasa CUF waliyetakiwa kumpinga wameingia nae ubia...shurti wapinge wanaoipinga CCM
 
Asante mwanamageuko

unajua wengi humu wamejaa ushabiki wa kijinga kupita kiasi

matusi walianza chadema sasa mawe yanawarudia

ILitakiwa wapenzi wa chadema wawaonye viongozi wao kutowatupia matusi CUF na kujikita kuwakosoa CCM n akuuza sera na kuipanda chadema mioyoni mwa watu

Leo chadema wana maaudi wengi wakiwamo CCM na vyama vingine... wamefanikiwa kuwadanganya umma wa watanzania kuwa failure yao inatokana na maadui wengi wakati wao ndio waliowatengeneza

Kesho Mbowe akishalipa madeni yake na kupata mitaji kupitia ruzuku ndiyo atakiacha chama na kuwaacha hawa wengine solemba.

Ikifikia muda huo wengi tutaishia kukumbukw kwa aibu tu!!

Kila siku unafanya kazi ya kuonya chama fulani kwa mengo mazuri ukiamini kwa sababu wako kisiasa basi watakuelewa haraka.

Lakini kila siku tunashuhudia blunders za kisiasa zingine ni very historiacal zinafanywa na mwisho wa siku unajiuliza hivi vyama kweli vina malengo ya kutukumboa

Kuna mingine inatoa mapovu humu kumtukana waberoya na kusahau kuwa challengi zetu zinamaanisha wakue na kuleta mabadiliko.

Huu ni unafiki mwingine ambao tunawajua, tunawaona na wengine

WAZENI KIKUBWA JAMENI, IMPACTS ZA MANENO YA AKINA LIPUMBA NI KUBWA MNO KWA CHAMA CHENU...KAMA MNA AKILI BASI KIKUBWA MLICHOTAKIWA KUFANYA NI KUZUIA YASITOKEE KWA KUWAONYA VIONGOZI WENU WASIWATUKANE CUF!

Katika hili mtatukana sana na ikifikia wakati wa kuona CUF iliishawahi kuwa chama kikuaa cha upinzani ndio mtagundua kuwa the future of these parties is very questionable!

USHABIKI WA KIJINGA?.hili ni 1 kati ya matatizo ya watanzania, kutoeshimu hisia na mawazo ya wenzao, ni vizuri kuchalenge lkn sio kudharau.
NAJENGA HOJA.
nasikitika kuona ndg zangu mnashindwa kulinganisha mambo na kuyachanganua kulingana na elimu zenu.
CDM ni chama cha siasa(rejea maana ya political party), hivyo ikiwezi kikasimama na kukisifu chama kingne, hivyo sio kosa kama watakikosoa CUF, ilimradi mambo wanayokosoa sio uzushi.
CUF. swala la lipumba kuikosoa CDM sioni kama ni mada, mada ni shutuma za uzushi anazosema lipumba za chama cha KIKABILA, KIDINI na UKANDA.Unajua hizi ni serious issue sema nchi yetu inakosa umakini. mfano:
1.Hivi kwa nchi makini unazani mkurugenzi wa TAKUKURU angeendelea kuwa madarakani?.
2.babu loliondo angeendelea kutoa vikombe?. n.k
nikukosekana kwa umakini tu, ndio mana akina lipumba na baazi ya maimamu hawaogopi kuongea mambo ambayo kwa utalamu wa saikolojia ni hatari sana(bse they ar most likely 2b an atitude rather than just a belief).
ndg zangu kama nchi hii itaingia kwenye vurugu za kidini kizazi kijacho, kinapaswa kuilaumu serikali ya awamu ya nne pamoja na sisi raia kwa vile mpaka leo sijaona jitihada za makusudi za kukemea na kuzuia uchochezi huu wa kidini.
 
you touched my soul!.

am never gonna add nothing whatsoever to your complete post.

thank you very much, and stay blessed.
 
Anatekeleza muafaka kwa vitendo .

Ajue kuwa kuna siku zitawekwa hapa taarifa zake za kikao kilichofanyika Bagamoyo siku ambayo alikuwa na mkutano Tabora mjini na akalazimika kurejea DSM Kwa ndege ya serikali na baada ya hapo alienda Bagamoyo na kukutana na JK na viongozi kadhaa wa dini , na alirejeshwa uwanja wa ndege saa saba na nusu mchana na kusafirishwa kwa ndege ya serikali hadi Tabora.

Nitamwaga data zake hapa ndipo mtajua kuwa anafanya kazi gani mpaka sasa.

kwa leo naishia hapo.

Mwagaaaaaaaaaaa!!!
 
sasa nona ni zamu ya washabiki wa vyama vya upinzani kutunishiana misuri. Lakini mie ningewashauri kitu chadema kuwa msimtunishie misuri, ebu fatilieni kwanini anasema hivo leo? mbona b4 2011 hakusema hivo na ninakumbuka mlikuwa mnakubaliana sana, sasa imekuwaje? ivi kweli hivi vyama vipo kwa ajiri ya maslahi ya watanzania au ni maslahi yao kwanza? Ila hata mimi si mufuasi wa chama cha siasa chochote kwani kwa jinsi vyama vyote vinavyoendesha propaganda sijaona chama ambacho kwa dhati kipo kwa ajili ya wananchi wote bila kuwabagua kwa namna moja au nyingine.Ila naamini kuna mtu mmoja mmoja katika vyama hivyo ambaye anaonesha nia.
 
tumesikia sana malumbano ya wana CCM(Chama Cha Mageuzi=kinawageuza watu fikra zao). sasa ni zamu ya Chadema na CUF naona nyinyi mpaka mtatwangana ndio heshima itakuja. halafu mtakuwa mnamkera kwani mmemwibia Profesa wake.
 
wakuu mi napata tafrani pale hoja zinapotumwa jamvini maana naona hoja inapoletwa wote mnaipa nguvu ya kutosha na mwandishi wa hoja yoyote ile kuhusu kuitetea cdm ndio inayopewa kipaumbele, je hii jf ni ya cdm pekee au kulikoni?
prof anatakiwa aulizwe atoe evidence kwa yale anayosema (labda kweli cdm ni ya kanisa) kwa nini muwe wakali wa kumtolea maneno tu ? ni mara ngapi mmekua mkiwachukulia waislam kama wapumbavu wasiotaka hata kusikilizwa, inanikumbusha ililetwa hoja hapa jamvini siku kadhaa zilizopita hawa waislam (walishambuliwa hapa jamvini na mwingine kusema hivi sasa wako msikitini wamelala unawaambia kwani wanayajua haya) kama hapa jamvini 90% ni cdm na ndio mnaongoza kwa kuwafanyia mzaha waislam na kutokuwaheshim mnawapa kipaumbele kina nani ?(hoja ya wananchi wote siyo kweli mbona baadhi mnawaona vilaza) daima kuna maneno mawili tu reality(true /false) na hakuna kati ya haya. kama mnawatusi na kuwadharau hawa( ni lazima mnawaheshimu na kuwatukuza wale) na hapo ndipo manasema hamna udini wakati ninyi ndo wadini wakubwa (nawapeni ukweli mliyoficha vifuani mwenu kwa hakika ni makubwa kuliko mnayoyatoa midomoni mwenu) kazi kwenu
siku njema.

Upupu wa kawaida na siku zote Prof ni wakala na mshirika wa ccm na udini
 
Anatekeleza muafaka kwa vitendo .

Ajue kuwa kuna siku zitawekwa hapa taarifa zake za kikao kilichofanyika Bagamoyo siku ambayo alikuwa na mkutano Tabora mjini na akalazimika kurejea DSM Kwa ndege ya serikali na baada ya hapo alienda Bagamoyo na kukutana na JK na viongozi kadhaa wa dini , na alirejeshwa uwanja wa ndege saa saba na nusu mchana na kusafirishwa kwa ndege ya serikali hadi Tabora.

Nitamwaga data zake hapa ndipo mtajua kuwa anafanya kazi gani mpaka sasa.

kwa leo naishia hapo.

Haaa...mkuu weka mambo hadharani watu wamfahamu huyu kigeugeu....
 
Kimaadili siku binadamu yeyote atakapokubali kusaliti misimamo yake anayoamini na kuaminika sahihi,atakaposaliti fikra zake zinazoendana na mahitaji ya jamii anayoiongoza kwa kupewa au kuahidiwa chochote na wale wanaotaka kuaiangamiza jamii husika ndipo ataanza kubadilika na kujikana mwenyewe.Hali hiyo ndiyo inayompata Lipumba kwa sasa,amekubali kutumwa na kutumika,hana namna nyingine zaidi ya kuisaliti jamii ya kitanzania aliyotaka kuiongoza awe kama rais wao kwa majaribio mara nne bila mafanikio
Sumu yake ina athari kwa baadhi yao ambao hawajafahamu jinsi alivyobadilika ingawa hatafanikiwa kwa wale waliomshtukia tayari.Naamini kabisa anajua athari za kazi anayoifanya lakini hana njia nyingine ila kutekeleza aliyotumwa.
 
Anatekeleza muafaka kwa vitendo .

Ajue kuwa kuna siku zitawekwa hapa taarifa zake za kikao kilichofanyika Bagamoyo siku ambayo alikuwa na mkutano Tabora mjini na akalazimika kurejea DSM Kwa ndege ya serikali na baada ya hapo alienda Bagamoyo na kukutana na JK na viongozi kadhaa wa dini , na alirejeshwa uwanja wa ndege saa saba na nusu mchana na kusafirishwa kwa ndege ya serikali hadi Tabora.

Nitamwaga data zake hapa ndipo mtajua kuwa anafanya kazi gani mpaka sasa.

kwa leo naishia hapo.

Nakubaliana na wewe kaka ailimia 100%

Huyu jamaa anaitwa LI-PUMBA, KWANI HUJANOTE KUWA JINA LA MTU HUENDANA NA MATENDO YAKE?:yield:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom