Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

TANZANIA NAKUPENDA

Senior Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
100
Reaction score
97
Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital.

Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).
 
Attachments

  • IMG-20150330-WA0045.jpg
    IMG-20150330-WA0045.jpg
    73.8 KB · Views: 4,088
  • IMG-20150330-WA0041.jpg
    IMG-20150330-WA0041.jpg
    85.2 KB · Views: 3,872
  • IMG-20150330-WA0038.jpg
    IMG-20150330-WA0038.jpg
    75.7 KB · Views: 3,551
Mungu wa Gwajima awabariki wote wanaomtakia mema na kumfariji mtumishi wa BWANA WA MAJESHI; baba askofu Josephat Gwajima.

Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital.

Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).
 
Inapendeza wapenda haki na wasema ukweli bila kuogopa juu ya maovu na kukemea mbinu chafu zinazotendeka au kupangwa na baadhi ya watu ndani taifa lao wanapo hali big up prof
 
Je! kuna kiongozi yupi wa kidini au mtumishi wa Mungu aliyemtembelea Askofu Gwajima mpaka sasa hospitalini ? Msaada wakuu !

Back
Top Bottom