Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Kafubaa wakati sefu alikuwa akimletea wabunge 20+ miruzuku chekwaaaa sasa hana kituHuku usoni sijui anapaka mafuta Gani,duu halafu kaishiwa angalia hivyo viatu,duu angalia hiyo tshirt,duu hiyo suruali
Acha kumsumbua mzee..Kwanza mwenye namba yake anipatie hawezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hiki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
MkuuKwanza mwenye namba yake anipatie hawezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hikiππππ
Nataka mzee nimuweke sawa uchaguzi unakaribia asije kuwa kama Lowassa kuongea dakika anapumzika.Mkuu
Unajua Nawe Utaishangaza Tanzania Yote
Unaambiwa Haruhusiwi Kula Vitu Vitamu, Wewe Mwenyewe Bado Unataka Number
Huyo Ni Professor Wa Majukwaani Kwenye Siasa
Vitamu Marufuku ππππππ
Ccm ishughulikie teuzi haraka hata akiwa Mkuu wa chuo cha chama
Haa ππππππNataka mzee nimuweke sawa uchaguzi unakaribia asije kuwa kama Lowassa kuongea dakika anapumzika.
Ana kimavi
Acha upuuzi wako! Ana mke na watoto. Mke wake anafanya kazi UNICEF na ni mchagga wa marangu! Ila familia yake haiweki publicMkuu
Unajua Nawe Utaishangaza Tanzania Yote
Unaambiwa Haruhusiwi Kula Vitu Vitamu, Wewe Mwenyewe Bado Unataka Number
Huyo Ni Professor Wa Majukwaani Kwenye Siasa
Vitamu Marufuku ππππππ
Analizimia chama lake DYASC.
acha uongo wewe !Acha upuuzi wako! Ana mke na watoto. Mke wake anafanya kazi UNICEF na ni mchagga wa marangu! Ila familia yake haiweki public
Huyu mzee ni nuksi, kuna sherehe fulani ilikuwa inafanyika msikiti wa ijuma, Kariakoo, jamaa alipokuja shughuli ilivurugika, sijui ana nuksi gani, na PIA HANA MKE KAMA ALIVYO AYOUB RYOBA WA TBC, wao kazi zao ni kula vitoto vya internship.
πππ yaani nimecheka almanusura nipaliwe na mchemsho wa kuku !Huyu mzee ni nuksi, kuna sherehe fulani ilikuwa inafanyika msikiti wa ijuma, Kariakoo, jamaa alipokuja shughuli ilivurugika, sijui ana nuksi gani, na PIA HANA MKE KAMA ALIVYO AYOUB RYOBA WA TBC, wao kazi zao ni kula vitoto vya internship.
Hivi hujijui kuwa wewe ni zumbukuku? Uliza mama Lipumba UNICEF country office Daracha uongo wewe !