BAK na wewe uko kwenye huo mtandao wa kuhabarishana issue za watu under cover? Mmmhhh, salam kwa msuli. Tized umenikatia tamaa mara hii? Na wewe unaungana na yule anayesema bora kuwa na nguruwe umnywe supu kuliko mke kama Kasie??!! Kwelii... mie nilijua tutaendelea kuwa wote kwa shida na raha kumbe kwenye shida zangu unantosa, poa yote maisha.
OK kama usemacho ni kweli, poa jioni njema. Wacha nile maisha hapa Las Vegas.
Habari zenu wapendwa,
Kama kawa kama dawa Kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize.
Haina mashiko saana ila ndo beats za Kasinde.
Leo bana mida ya lunch nilienda ofisi fulani hivi kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs.
Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa naiwaza tu.
Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa midomo inanihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof.
Yeye kama yeye simpendi ila midomo.
I love kissing Kasinde mie
Huo upumbavu hata siku moja siwezi kuufagilia. Sielewi kabisa kwanini watu wafanye hivyo. Kula maisha Vegas, but please remember what happens in Vegas always stays in Vegas.
habari zenu wapendwa,
kama kawa kama dawa kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize.
Haina mashiko saana ila ndo beats za kasinde.
Leo bana mida ya lunch nilienda ofisi fulani hivi kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs.
Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa naiwaza tu.
Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa midomo inanihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof.
Yeye kama yeye simpendi ila midomo.
I love kissing kasinde mie
Yeah ukinikuta vegas niko juu ya meza let the things remains in vegas na si kuzileta jf, let me bring them myself. After all hakuna jipya duniani we r all adults, no need kuanza kutangazana kama ebola. Karibu dinner...
aiseee, kweli ulitekwafoleni ilikuwa ya kusogea kwa kiti, it was side by side yaani like tunagusana mabega so harufu ya mdomo unaipata vilivyo, halafu mtu hakai kama jiwe, anageuka huku na huku hivo nilikuwa na nafasi ya kuona vyote hivo lips na kujua kuwa hazina harufu.
BAK na wewe uko kwenye huo mtandao wa kuhabarishana issue za watu under cover? Mmmhhh, salam kwa msuli. Tized umenikatia tamaa mara hii? Na wewe unaungana na yule anayesema bora kuwa na nguruwe umnywe supu kuliko mke kama Kasie??!! Kwelii... mie nilijua tutaendelea kuwa wote kwa shida na raha kumbe kwenye shida zangu unantosa, poa yote maisha.
Huo upumbavu hata siku moja siwezi kuufagilia. Sielewi kabisa kwanini watu wafanye hivyo. Kula maisha Vegas, but please remember what happens in Vegas always stays in Vegas.
​Miss u too, hiyo avatar mpya ni aje? π
Hii ni ya my dad my mentor in Jesus name best!
Wasap?
I know you dont mean it anyway Kasinde!!! You always understand I am available when you needs me.. Dont worry my dear!! Your dokta is here
Heshima kwako Mkuu BAK.. Kasinde laiti ungalifahamu, unamuonea huyu ndugu kwa kumsaspect na mambo ya chini ya kapet... hizo ni ishu za wanawake mpendwa wangu, we are grown enough for that (only simple minds discuss people)..... This man BAK is highly regarded and respected in an outside JF (sorry mkuu kwa kufunua haya machache)... so please uwe na amani... utani wetu huwezi kujua tunachomaanisha maana ni lugha tunayoielewa sisi kwa sisi but its okay.
Relax my dear.... Old man Tized is here, My shoulder is always available for you to lean on.
Huyo aliyesema hio kauli ya nguruwe... bila shaka ametoroka mirembe... how possible hata kama huonekani uweze kumwambia mtu hivyo? I feel very bad to have heard that, Pole sana my dear... i know how subconsciously it might have pained you.
Reputation, reputation, reputation. It takes many good deeds to build a good reputation, and only one bad to lose it. Thank you Sir for a very strong defence.
Hapo kwenye rangi Mkuu Tized nimepapenda he he he he he lean on me....Sometimes in our lives we all have pain, we all have sorrow But if we are wise We know that there's always tomorrow Lean on me when you're not strong and I'll be your friend, I'll help you carry on for it won't be long 'Til I'm gonna need somebody to lean on :yo: πoa:yo: πoa :yo: πoa