Alafu ukute akicheka fizi zinaanza kuonekana kabla ya meno .... meno ukute meupe fiz nyekundu nyeusi..... uwiiii.. unajikuta unasema kiinglish... u are handsome
Kama za huyu hapa....
Kama za huyu hapa....
ungemuomba tu ,sisi wanaume sio wachoyo by nature
Ningeanzia wapi nami midomo ilinizubaisha? kiasi cha kutokuona kama foleni haiendi.
To me I dont think that way, If I could I will take the lips tuu vingine tupa kuleee, napenda kukiss jamani acha tuu
ukikisss, tena unasema french kiss unapata raha gani?!!