Habari zenu wapendwa,
Kama kawa kama dawa Kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize. Haina mashiko saana ila ndo beats za Kasinde.
Leo bana mida ya lunch nilienda ofc flani hv kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs. Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa nawaza kui muah. Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa ooohhh!! Midomo imenihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof. Yeye kama yeye simpendi ila midomo.... I love kissing Kasinde mie
hapana, hujanielewa, sina issue na serengeti boys wala sija fall kwa huyo kijana, yaani ukimuweka mbele yangu mie ntachukua midomo yake tuu kisha yeye aondoke simhitaji, yaani kiss la hiyo midomo nikiliwaza nahisi nikianza simalizi
Itakuwa balaa utapokutana na harufu inayochomoka humo kinywani.
Hapo ndo patamu sasa, sa kwa nini hukuniuliza jina langu?may be, sin hakika maana hata jina sikumuuliza na wala hatukuongea, hebu weka lips zako hapa ntajua tuu kama ni wewe au la!!
imagine ndo una mke kama huyu!!! yaaani bora niende mnadani tubadilishane na beberu ninywe supu....
umenikumbusha myboy wa chuo miaka hiyooooo alikuaga na lips balaaaaa yan dah!!!!! umenihanisha aseeeeee
hivi unafikiri hata walevi huwa wanaanzaje kuchukua bar maid aliyechoka!!!...anamtafutia sababu, labda miguu akimwangalia..."dah, lina miguu mizuri lakini", mwisho wa siku miguu ndiyo inasababisha kuvua bukta!
Itakuwa balaa utapokutana na harufu inayochomoka humo kinywani.