Lipo wapi duka la tende Kariakoo au Tandika?

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Amani iwe juu yenu wadau wote JF.

Nilikua nauliza kwa anaejua wapi naweza kupata tende (in large quantity) kama vile 20kg box au zaidi.Yaani kuna yale maduka huwa wanauza tende kwa jumla (ma box kwa ma box). So anaefahamu duka hilo ambalo either liwepo Kariakoooo au Tandika (au mitaa jirani na hii) naomba anifahamishe.

Natanguliza shukrani
 
Nishapajua.. Admin waweza ufuta huu uzi. Kwa ambae atataka nimfahamishe pia anakaribishwa.
 
Back
Top Bottom