Lipi ni JANGA LA TAIFA?

Lipi ni JANGA LA TAIFA?

Janga la taifa ni wanasiasa wanaotumia nguvu za vijana "nguvu kazi wa taifa hili kwa matokeo binafsi" hili me naona ni pekee kwa kuwa wanazaa fitna,uhasama,ubaguzi,matabaka n.k hili ni janga kubwa kwa kuwa linakuwa siku hadi ila mwisho maafa yake tutakuja kulia kwa taifa Zima (aliyekuwepo na asiyekuwepo) kufikwa na hili ni lazima kama likitokea.
 
Mwenyekiti wa Ccm na ccmafisadi
ccmauaji
ccmalaya
ccmadhaifu
ccmanyang'au
ccmabwabwa
 
majanga yapo mengi sana ila source ya majanga yooote ni......."J" anga la "K" itaifa
 
Kuna kajanga kanakua nadhani hako kanaweza kuwa janga la afrika Mwigulu tukicheka nako haka ohoo!
 
JK & Family na CCM yao ndio JANGA...
 
IPI NI JANGA LA KITAIFA?
1.ufisadi,
2.Ukimwi,
3.Malaria,
4. Madawa ya kulevya,
5. Kusafirisha wanyama nje,
6. Ujangili kwa wanyama,
7.Umeme,
8.mitandao ya simu za mikononi?
9.rushwa,
10. Ajali au kuna lingine?


Maadili kuanzia ngazi ya familia hadi juu.
 
IPI NI JANGA LA KITAIFA?
1.ufisadi,
2.Ukimwi,
3.Malaria,
4. Madawa ya kulevya,
5. Kusafirisha wanyama nje,
6. Ujangili kwa wanyama,
7.Umeme,
8.mitandao ya simu za mikononi?
9.rushwa,
10. Ajali au kuna lingine?

Lingine lipo, ni hili hapa:-

View attachment 103595

profilepic 2015.JPG
 
IPI NI JANGA LA KITAIFA?
1.ufisadi,
2.Ukimwi,
3.Malaria,
4. Madawa ya kulevya,
5. Kusafirisha wanyama nje,
6. Ujangili kwa wanyama,
7.Umeme,
8.mitandao ya simu za mikononi?
9.rushwa,
10. Ajali au kuna lingine?

Ndio kuna makampuni ya wahindi, waarabu na wachina yanatoa Bidhaa feki zinatuumiza mno hasa vifaa vya umeme vyakula na vifaa vya moto , sabini miswaki, mafuta ya kupaka, vifaa vya afya na tiba. Dawa nk huko tbs yetu umelalausingizi wa pono. Bila kusahau pia vifaa vya ujenzi na ajali za pikipiki zinamaliza nguvu kazi kubwa sana ya Taifa, zinazalisha yatima, serikali umelala usingizi wa pono au iko Busy na CHADEMA
vifaa vya kutolea elimu kwa shule na vyuo vyetu, walimu feki, vyuo feki hasa vya uandishi....uuuuwiii majanga ya Taifa hili ni mengi mno
 
ccm ndo source ya yote uliyoyataja hapo mkuu!
 
Wadosi na wanasiasa karibia wote wa ccm nikikumbuka mengine nitarudi Ngoja nimalizie kiroba yangu kwanza, nitarejea
 
Back
Top Bottom