Lipi ni bora kuliacha nyumbani?

Lipi ni bora kuliacha nyumbani?

Hebu kwanza fanya mazoezi ya kuandika !
"BOLA" na "HALUFU" ndiyo nini ?
Au mwenzetu umebobea kuandika kwa kingereza?
Kwamba Kiswahili kinakupa shida?
Siamini kua Kiswahili ndiyo Mother tongue yako!
 
Hebu kwanza fanya mazoezi ya kuandika !
"BOLA" na "HALUFU" ndiyo nini ?
Au mwenzetu umebobea kuandika kwa kingereza?
Kwamba Kiswahili kinakupa shida?
Siamini kua Kiswahili ndiyo Mother tongue yako!

Waandike nini mwalimu mwenyewe Bujibuji anashinda jf wanafunzi wanalala club kuna kitu kweli hapo.
 
Last edited by a moderator:
hujarudi kwenu tu we muhamiaji haramu?
 
Back
Top Bottom