Lipi neno sahihi: Academic au academician?

Lipi neno sahihi: Academic au academician?

Habari zenu waungwana.
Kuna mkanganyiko ambao mimi naupata kutoka kwenye matumizi ya haya maneno mawili. Tanzania tumezoea neno "An Academician" kumaanisha Mwanazuoni. Lakini nchini Uingereza na Marekani wanatumia neno "An Academic" kumaanisha Mwanazuoni: Sasa lipi ni sahihi au utofauti ni upi hapa ???


CC: Wick , Prof , chige , Kiranga , Wyatt Mathewson msaada wenu tafadhali
Ndugu yangu Malcom Lumumba, kwanza nitangulize samahani kwa kuchelewa kuitikia wito waku mkuu. U-busy kidogo ndo umechangia sikuweza kuingia humu kwenye Forum.
Tafauti kati ya Maneno hayo mawili..Academician and an academic naweza kuielezea kama ifuatavyo:-
  • An Academic..huyu ni mtu anayefundisha or anafanya tafiti katika vyuo vya elimu ya Juu. Kwa maana nyingine huyu ni mwalimu na mwanazuoni kwenye masuala ya utafiti.
  • Academician..Huyu tunamwita kuwa ni member of an academy. Kwa maana nyingine ni mwanachama or mfuasi wa mfumo wa ki-academia katika kufanya tafiti mbalimbali kuhusu matatizo yanayoikumba jamii na kuleta mapendekezo or suruhisho. An academician is a senior rank while an academic might rank lower or slightly closer. Professor ni mfano halisi wa academician. Though, kwa namna moja ama nyingine, kuna utofauti mwembamba kutenganisha terms hizo mbili..depends na position ya mhusika mwenyewe
  • An academic (member)…means lazima uwe kwenye mikono/mamlaka ya taasisi or chuo. An academician siyo lazima. Kwa mfano, kuna academician wengi mtaani wanafanya some scientific research na ku-publish lakini hawafundishi vyuoni. Either walikuwa wakifundisha, then wakaacha or wali-retire. Na jamii inaendelea kunufaika nao through their publications…hawa ni academician.
Whether an Academic or Academician?

It depends wapi na mahala(Place) hayo maneno yanatumika. Ukiwa chuoni na Taasisi za Elimu ya Juu, itatumika An Academic and vice versa….
 
Hili neno limezua taharuki, kuna maprofesa na madokta wamemshambulia dada moja hivi aliandika An Academic. Wao wakasema rekebisha weka Academician......
Duuh..Chuo gani mkuu? kwa uzoefu wangu najua uwezo wa baadhi ya wana taaluma walio wengi hapo Nchini especially kwenye hizi Public Universities. Kuna ombwe la competence sana kwenye vyuo vyetu. We acha tu. Nilikuwa naandika paper review kwenye article moja ya Dr. Fulani yuko hapo School of Law...yaani ni majanga. Kwanza nime-question integrity ya journal husika iliyopitisha na ku-publish hiyo paper. wamenijibu kwa masikitiko. Taaluma ni kama mpira wa miguu, usiposoma kila siku..umekwisha. The same to football
 
Back
Top Bottom