Lione...!

Lione...!

ukitaka kula shurti nawe uliwe...
 
Hahahshsaaaa ttcl pesa hiyo kali. Waschana mkipata kazi jitunzeni wenyewe, acheni kuwapiga mizinga hao miguu 3.
Wanawachoreni tuu na PENI zao kila mahali halafu wanawaachia tatoo zisizofutika.

Ulivyoandika inaonekana hauna jinsia.
 
Back
Top Bottom