Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Halafu bado wanaosoma law wanajiita sijui learned vitu gani huko wakati hapa mnaandika vitu ambavyo sijawahi hata kuvisikia kwa bahati mbaya
Honey Faith, welcome to Linux family.Halafu bado wanaosoma law wanajiita sijui learned vitu gani huko wakati hapa mnaandika vitu ambavyo sijawahi hata kuvisikia kwa bahati mbaya
Sema hata hayo mambo sijuagi yani mie ili mradi laptop iwake niangalie series zangu basi sijui vingine zaidi ya hayoHoney Faith, welcome to Linux family.
Duuu kwa hiyo Dada we ni movies tu.Sema hata hayo mambo sijuagi yani mie ili mradi laptop iwake niangalie series zangu basi sijui vingine zaidi ya hayo
Hata libreoffice ipo poa na openofficeMkali hii project wamemaliza asee, kwa hii software ni kama office imekalika bila kuhitaji windows tena, taasisi sasa zianze tu kupunguza gharama maana office suite ndio huwa shida kubwa ya maofisi kutumia linux.
Nimeipenda sana hii....
Huwa sitaki nione kitu chochote kwenye laptop yangu zaidi ya movieDuuu kwa hiyo Dada we ni movies tu.
Libre office na OpenOffice hazifikii kiwango cha MS Office ase, ila hii wps office hii...kila kitu, mtu wa windows na mtumiaji wa MS Office hapati shida na hii asee...Hata libreoffice ipo poa na openoffice
ni kweli hata mi nimeliona hilo, nimeielwa sana hii wps.Libre office na OpenOffice hazifikii kiwango cha MS Office ase, ila hii wps office hii...kila kitu, mtu wa windows na mtumiaji wa MS Office hapati shida na hii asee...
Naidownload vipi tuma bac repository zake zake na command yake ya aptni kweli hata mi nimeliona hilo, nimeielwa sana hii wps.
Angalia post #43 kuna link ya kudownload .deb file.Naidownload vipi tuma bac repository zake zake na command yake ya apt
Kurekebisha external yako fuata yafuatayo, kwanza kompyuta yako imeshaathirika nakushauri fuata haya maelekezo kwa kutumia kompyuta ya mtu mwingine, halafu hiyo kompyuta weka smadav 2017.Dah! Niliwah kutumia Ubuntu nikaipenda sana mpaka leo.
Najuta nimeweka Window 8.1 kwenye Pc yangu kisha nika Instal Kaspersky Internet Security niliyonunua.
Then hivi Majuz kuna virus anaitwa RECYLEBIN ( System volume Control) ameingia kwenye Pc yangu wakati nafanya Recovery hivyo nikaconect External had disk ndipo alipoingia.
Dah! Aisee ananisumbua kinyama Data zangu zote GB 400 Kwenye External Had disk zote zimepotea ukifungua hamna kitu.
But ukicheki properties inaonyesha zishatumika GB 400.
SIJA IFORMAT bado kwakuhofia kuzipoteza kabisa...
Plz naomba Elimu mwenye ujanja hapo nifanyeje maana ndipo nilipoanza kukumbuka Ubuntu.
Nataka nimwondoe huyu mdudu but sijajua Application gani naweza kuitumia kumwondoa kwenye Pc na External...
Njia nzuri ambayo itawork bila ku install chochote kwa PC yako ni command tu fungua CMD halafu Andika drive letter mfanoDah! Niliwah kutumia Ubuntu nikaipenda sana mpaka leo.
Najuta nimeweka Window 8.1 kwenye Pc yangu kisha nika Instal Kaspersky Internet Security niliyonunua.
Then hivi Majuz kuna virus anaitwa RECYLEBIN ( System volume Control) ameingia kwenye Pc yangu wakati nafanya Recovery hivyo nikaconect External had disk ndipo alipoingia.
Dah! Aisee ananisumbua kinyama Data zangu zote GB 400 Kwenye External Had disk zote zimepotea ukifungua hamna kitu.
But ukicheki properties inaonyesha zishatumika GB 400.
SIJA IFORMAT bado kwakuhofia kuzipoteza kabisa...
Plz naomba Elimu mwenye ujanja hapo nifanyeje maana ndipo nilipoanza kukumbuka Ubuntu.
Nataka nimwondoe huyu mdudu but sijajua Application gani naweza kuitumia kumwondoa kwenye Pc na External...
hii ni kwa kuondoa shortcut pekee sio virus.Njia nzuri ambayo itawork bila ku install chochote kwa PC yako ni command tu fungua CMD halafu Andika drive letter mfano
D: kisha bonyeza enter halafu itatokea kama hivi D:/> utaendelea kuandika command nyingine ambayo ni attrib -r -a -s -h /d /s (kisha bonyeza enter Hapo mchezo umekwisha kuthibitisha Andika dir kisha enter Hapo utaona list ya files na folders zote zilizokuwemo
Command hii lengo lake ni kufichua hidden files n folders
Eels command ambayo unaijua inayotoa kirusi tuongeze maarifa mkuuhii ni kwa kuondoa shortcut pekee sio virus.
sudo apt-get install cheese
sudo add-apt-repository -y ppa:n-muench/vlc
sudo apt-get update
sudo apt-get install lives
Unaweza kudownload kutumia hii link, ukiwa na GB moja na kitu hivi unaidownload bure kabisa.
http://mirror.aptus.co.tz/pub/ubuntu/16.04.2/ubuntu-16.04.2-desktop-amd64.iso
ndio inawezekana kabisaata sisi Wenye pc za core2 tunaeza install na Kutumia?
Kuinstall inawezekana lakini unaweza isifanye kazi, humu wameweka alternatives to idm.Inawezekana ku install idm pamoja na crack yake kwenye Ubuntu? Natumia Ubuntu 16.04 LTS