mwaminifuhalisi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 329
- 425
- Thread starter
- #121
Weka xdman, nimeweka Maelezo jinsi ya kuweka kwenye hii thread.Inawezekana ku install idm pamoja na crack yake kwenye Ubuntu? Natumia Ubuntu 16.04 LTS
Weka xdman, nimeweka Maelezo jinsi ya kuweka kwenye hii thread.Inawezekana ku install idm pamoja na crack yake kwenye Ubuntu? Natumia Ubuntu 16.04 LTS
AsanteKuinstall inawezekana lakini unaweza isifanye kazi, humu wameweka alternatives to idm.
AsanteWeka xdman, nimeweka Maelezo jinsi ya kuweka kwenye hii thread.
ngoja tuijaribuVimix theme
kwa wale wanaopenda kucustomize hii hapa ni theme Releases · vinceliuice/vimix-gtk-themes · GitHub mojawapo nzuri. ina dark na light mode pia ina color scheme mbalimbali
Inatumia linux ama android au os nyingine?.Msaada, nashindwa kupata huduma ya Golive kama huduma katika TCL smart Tv asee, sijui shida ni nini, inaniambia kuwa Unavailable network wakati mtandao upomsaada plz![]()
Aya maelekezo ulishajaribuNataka ku upgrade from ubuntu 14.04 to ubuntu 16.04 nitafanye maana nishajaribu mara nyingi kugoogle napata solution ambazo tatizo haziishi wakati huo huo sitaki kuformart maana data zangu nyingi sina external ya kutosha kufanya back up
fungu terminal na uandike hii codewakuu naomba kujulishwa ni vipi naweza kujua kama system yangu ni amd64 au i386 ???
uname -a
uname -i
Windows gani? unaweza kutumia kmspico 10 ingia thepiratebay utaipata.Pc yangu nikitaka ku activate windo inazingua nifanyaje...msaada.
windo 7 ultimet...Windows gani? unaweza kutumia kmspico 10 ingia thepiratebay utaipata.
Tumia windows loader au microsoft toolkit kwa kutumia ez-activatorwindo 7 ultimet...
Hebu fafanua vizuri unapoboot ukitaka kuweka hiyo Kali ? Au kompyuta ndio inaandika hivyo.Jamani mimi naomba msaada wa kuinstall kali linux maana ninapoanza kuboot inakuja massage remove disk or other media press any key to restart