Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Careful. Sio rahisi kama jamaa alivyosema. Kuna Stage ya Partitioning ambayo wengi wamelia. Ni vizuri kupata maelezo ya kutosha section hiyo kabla ya ku install!
Yes mkuu...nilishaona hiyo kitu mahali ndiyo maana niaomba maelezo toka kwa wadau..versions za nyuma ilikuwa rahisi lakin kwasasa ni tatizo kidogo...unaweza share uzoefu hapo mkuu?
 
nikweli mkuu ila tatizo lililopo hapa nyumbani wabobezi ni wachache sana wengi tumepata elimu partially kabisa ya IT au tuseme computer science kunahaja ya kuwa na bodi au chombo au taasisi itayo simamia tasnia hii,leo hii kusoma professional course hapa tanzania nikazi mpa uje Dar na po shule na wataalamu ni idadi ndogo kabisa wana IT wengi bongo tumeungaunga sana yaani usipojiongeza huambui chochote na degree yako au diploma
 
Kwa wale wanaopenda ribbon interface kama ya ms office 2007+ wanaweza tumia wps for linux. Downloads - WPS Office Community
Mkali hii project wamemaliza asee, kwa hii software ni kama office imekalika bila kuhitaji windows tena, taasisi sasa zianze tu kupunguza gharama maana office suite ndio huwa shida kubwa ya maofisi kutumia linux.

Nimeipenda sana hii....
 
KWA WAPENZI WA ONLINE STREAMING
Zipo software kama kodi na vlc ambazo unaweza ukaziweka kwenye linux yako na kuangalia TV kupitia internet yako bila bughudha.
687474703a2f2f6e65772e74696e79677261622e636f6d2f6439303732656635363438346562623434346363326663376263313166313865396631373036663638662e706e67
jinsi ya kuinstall kodi kwenye ubuntu ama linux mint fanya yafuatayo
1. Kwanza fungua Terminal kwa kubonyeza ctrl+alt+T

2. andika codes zifuatazo, kwa ajili ya kuongeza repository
Code:
sudo add-apt-repository ppa:team-xbmc/ppa

3. kuweka kodi andika codes zifuatazo
Code:
sudo apt-get update
sudo apt-get install kodi

4. pia andika line zifuatazo kwa ajili ya encoder
Code:
sudo apt-get install kodi-audioencoder-* kodi-pvr-*
 
Ungetuambia ujumbe unaopata, jaribu ku-fix kwa kuandika code ifuatayo
Code:
sudo apt-get upgrade gnome-software
Halafu reboot kompyuta yako.
Imekataa tena nikifungua inaonesha tu cursor inazunguka pale kisha inatulia haileti meseji hata
 
Imekataa tena nikifungua inaonesha tu cursor inazunguka pale kisha inatulia haileti meseji hata
ama ikishindakana fanya kuitoa na kuiweka tena
Code:
sudo apt-get autoremove gnome-software && sudo apt-get install gnome-software
 
Kama new user wa linux nafikiri ingekuwa vizuri aanze na Ubuntu/Linux mint hizo naona ndio simple ku install
 
Pia unaweza tumia vmware kama huitaji ku install alongside windows
 
sudo apt-get install klavaro

apt-get master ian murdock kwanini alijiua?
 
Back
Top Bottom