Unatumia tool gani kuburn flash yako, nakushauri tumia Universal USB installer. Halafu kabla kuweka angalia video ya maelekezo post #98.Wakati nishachomeka flash yangu nimeshaboot flash ndio computer inaleta maelezo hayo
Fuata huu Uzi humu mwanzoni kuna wp office inafanya kazi kama ms office. Tafuta link kwenye huu Uzi imewekwa.nimetumia kali linux kwa ajili ya penetration tests...lakini kukosa app muhimu kama vile spotify na ms word inauma, japo libreoffice ipo lakini ms word ni nzuri zaidi, vile vile kuinstall printer ya deskjet ilikua ngumu...linux ni nzuri kwa watu ambao hawana mahitaji makubwa ya app za windows kama vile itunes,fifa na other games.....yalinishinda nikarudi microsoft......dual boot ilikua inafanya windows inakua slow sanaaa
Tafuta universal USB installer ni mahususi kwa ajili Linux usitumie CMD.Nimetumia cmd
kiufupi ukitumia linux yoyote tofauti na ubuntu jiandae kua peke ako pekeakoFuata huu Uzi humu mwanzoni kuna wp office inafanya kazi kama ms office. Tafuta link kwenye huu Uzi imewekwa.
Kutokana na uchache wa watumiaji madeveloper na wafanyabiashara hasa wa magemu hupenda kubase kwenye windows, ndio changamoto zenyewe hizi.kiufupi ukitumia linux yoyote tofauti na ubuntu jiandae kua peke ako pekeako
ila iko vizuri sana hai crush kama windows pia ina security kubwa sanaaa sio kama windows.......developers inatakiwa waangalie hii platform ni wachache sana wameiangaliaKutokana na uchache wa watumiaji madeveloper na wafanyabiashara hasa wa magemu hupenda kubase kwenye windows, ndio changamoto zenyewe hizi.
Ni kweli lakini huku software nyingi inabidi ziwe opensource na nyingi huwa ni bure sasa mtu anaetafuta pesa kuwekeza nguvu kubwa inakuwa ngumu ukiongeza na huo uchache wa watu na ndio software nyingi za Linux zinafanywa kwa ushirikiano wa madeveloper wengi na Linux ni nzuri sana hasa kwa kujifunzia lakini kama ni biashara huku kuna ugumu sana ukitoa android.ila iko vizuri sana hai crush kama windows pia ina security kubwa sanaaa sio kama windows.......developers inatakiwa waangalie hii platform ni wachache sana wameiangalia
Linux inaweza ikawekwa kwa pamoja na windows OS na data zako zikabaki kama zilivyo na hivyo kuwa na option mbili na kuchagua mojawapo.
Inabidi pia ujifunze commands nyingi ukimaster hii inakuwa na software zipo nyingi pia.Hata mimi natumia Ubuntu ambayo imewekwa na windows OS
Inabidi pia ujifunze commands nyingi ukimaster hii inakuwa na software zipo nyingi pia.
Universal USB Installer - Easy as 1 2 3 | USB Pen Drive LinuxWapi naipata mkuu au kuna link unitumie
tatizo linatokea lilelile na hiyo software umeitumia?Kaka bado sijafanikiwa