Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

"[root]@localhost~]#cd /val"

In reality Linux ni the best OS of all time. Katika hierarchy za OS Windows ni mkia japokuwa iko popular.Inasemekana WWW servers nyingi kwa wenzetu zinarun Linux.

Pia watu wanaoweza kutumia Linux ni wachache compared to Windows ukiijua linux utaifurahia sana hasa ukiijua kuioparate kwenye Command Line Interface maana ukitumia GUI hauna tofauti na mtumiaji wa Windows

Watu ambao tunasema wako vizuri kwenye linux tunamaanisha wanaoweza kufanya configurations(mfano Samba ,FTP,HTTP Server settings) na kuioparate kwa Commands.

Chochote unachofanya kwenye Windows unaweza kukifanya kwenye Linux kwa kutumia commands napenda sana ile mode ya Command iko powerful
Hata Windows kuna DOS commands ambazo unaweza kufanya baadhi ya operation japo kwa uchache.

Linux unaweza kuiconfigure iboot kwenye Command pia baadae ukaiswitch kwenye GUI kuna command kama StartX kwa ajili ya kuload GUI.
[ b]Halafu kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu linux unapoinstall kuna kipengele unachagua uinstall server au client.

Hii ni tofauti na Windows ambayo kuna matoleo maalumu kwa ajili ya Server na Client. Mfano Windows Server 2003 kwa ajili ya kurun kwenye Server na OS kwa ajili ya kurun as Client kamaWindows 9x,2000,XP etc. [/b]
Pamoja na hayo hata hizi zipo katika list ya OS tunazoziita NOS(Network Operating System)

Kingine kuhusu Linux iko secure zaidi ya Windows pia ni open source ila Windows ni Commercial OS au proprietary.

By open source namaanisha kama uko vizuri kwenye C programming unaweza kuwa ni part ya developing team ya Linux hivo Linux ni heaven for C programmers.(kumbuka ilikuwa implemented kwa kutumia C Programming Language).

Feature nyingine ya linux ni kwamba inaweza kurun kwenye Computer yoyote. Tunasema iko portable hivo haiitaji kuicustomize ili irun kwenye computer fulani. Inaeleweka OS nyingine huwa zinatarget computer fulani tu.
Embu jaribu kufanya kautafiti kudogo je Windows zinaweza kurun kwenye Apple computers.

Pia mnisaidie kaswali kangu,na kangu peke yangu kaswali kenyewe kako hivi je Windows Xp au 7 inaweza kurun kwenye HP Proliant Server especially toleo la ML 310 Generation 3 Server kama haiwezi Why??
 
IMG_20170512_142910.jpg
Nina install Ubuntu kwa PC Ila ninapata hiyo message, how can I by pass so that I can install dual boot in a pc. Computer ni HP spectre
 
View attachment 508207 Nina install Ubuntu kwa PC Ila ninapata hiyo message, how can I by pass so that I can install dual boot in a pc. Computer ni HP spectre
hapo na wasi wasi na ubuntu ulio download maana inakuambia unable to find try to download kwenye other mfano torrent kuliko ku download direct mwishoe tafuta software nzuri ya ku fanya usb yako bootable mfano mie natumia imagewriter au rufus itakubali
 
nina laptop ya macbook pro retina display

RM 8gb

processor 2.5 ghz

hard disk 500

nisaidieni jinsi ya kupiga window 2

tafadhali msaada
 
Imeniambia unable to find a medium containing live file system
 
Sisi tusiojua kabisa hii kitu Tuanzie wapi mkuu? Mi naipenda kwa kusikia sifa zake tu...
 
nina laptop ya macbook pro retina display

RM 8gb

processor 2.5 ghz

hard disk 500

nisaidieni jinsi ya kupiga window 2

tafadhali msaada

Ingiza cd ya windows uliyo nayo
Wakati pc inaboot chagua iboot kwenye cd
Tengeneza partition 2 na uruhusu cd ya windows iinstall windows kwenye partition moja wapo hasa partition C:kisha inastall windows mpaka imamilike

Ukishamaliza kuinstall windows ingiza cd ya pili yenye OS na iruhusu tena Computer iboot kutoka kwenye hiyo cd
ukifika kwenye sehemu ya Uchagua uinstall kwenye partion gani chagua partition ile nyingine ambayo uliitengeneza awali ukichagua ile ambayo umeshaiweka window maana yake unaifuta partition ya mwanzo yenye windows na kuinstall OS iliyopo kwenye cd ya
Sasa hivo kuwa makini hapa ubashite mdogo tu unaweza kukuharibia kazi
 
wewe unapatikana wapi mkuu tuonane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom