Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

nina laptop ya macbook pro retina display

RM 8gb

processor 2.5 ghz

hard disk 500

nisaidieni jinsi ya kupiga window 2

tafadhali msaada

Njia nzuri ni kutumia Bootcamp ipo kwenye Utilities

Iko straight forward jaribu kungalia Videos youtube.

Faida yake ni kwamba unaweza Run Windows na MacOS/OS X kwa PC moja ni wewe kuchagua u boot kupitia Menu ipi
 
Goodnews na share na wanangu nimeuza ki notebook changu nimeongeza hela kiduchu tuh asaivi na netbook mbaya na ina sukuma ubuntu 16.04 lts hadi raha i love ubuntu :* ndo na format kitu hapa
 
WADAU nimei futa libreoffice na wala sitaki kuisikia, natumia asaivi kingsoft wp na nime install microsoft office 2013 kwenye ubuntu hadi rahaaaaa procedure hizo unaweza jaribu then utoe feedback mambo kushare wadau:

Switching to Linux doesn’t mean you have to give up your Windows applications. The existence of Wine (and PlayonLinux) has made installing and using Windows applications (in this case, Microsoft Office 2013) very easy. Unless you really need some proprietary features that are specific to Microsoft Office, we do recommend you try out alternative office suites, like LibreOffice, as they are quite stable and capable as well.

How to Install Microsoft Office 2013 in Linux - Make Tech Easier

Microsoft Office 2013 and 2010 on Linux - Raymii.org
 
Good hapo umenionesha kitu nilikua siki pati, mie nilikua nafungua uget na copy liink na paste nashusha hi njia seems ina kua ndani ya browser kabisa
mkuu natoa feedback, nimefanikiwa niko poa mie nilikua na copy link na paste kwenye url to alafu na download nilikua na pata tabu kumbe naona hi ni ki download ina link na uget thanks alot nimefanikiwa 100%
 
Linux nyingine imezinduliwa kwa ajili ya games,
UbuntuGamePack ni OS nyingine ambayo imetengenezwa na kampuni ya UALINUX iliyo na makazi ukraine, ubuntu hii imetengenezwa kutokana na ubuntu 16, na ni kwa ajili ya magemu, ina games zaidi ya 23,000 ambayo ni ya bure.
Ukubwa wa file la iso unaloweza kupakua ni zaidi ya GB 2.

specification za computer kuweza kutumia ubuntu game pack
  • 2 GHz dual core processor or better
  • 2 GB system memory
  • 25 GB of free hard drive space
  • Either a DVD drive or a USB port for the installer media
  • Internet access is required for online gaming systems such as Steam
kwa maelezo zaidi unaweza tembele link hii hapa chini
Ubuntu GamePack
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom