Basi kuwa mpole na Low end machine yako boss. Hauna namna. Ujue soon or later hiyo 12.04 itakuwa completely useless.hahaha 😀 , mkuu dah uwezi amini nazo zikubali mie ni gnome na unity izo zime nikalia ovyo na pili naona kama natumia window ndo maana nataka ya toufauti.... labda kama kuna nyingine hizo hata ile cinnamon. ila 12.04 lts naona imetulia ndo natumia hi asaivi.
mbona ni useless maana 14.04 lts mwezi huu wa nne ndo mwisho kuwa supported.Basi kuwa mpole na Low end machine yako boss. Hauna namna. Ujue soon or later hiyo 12.04 itakuwa completely useless.
14.04 ina viupgrade vidogo ambavyo ukishavifikia inakuwa supported mpaka 2019.mbona ni useless maana 14.04 lts mwezi huu wa nne ndo mwisho kuwa supported.
kompyuta yako haisapoti 64?Mkuu mbona hii inaonekana ni for 64bit processor.
kama sijakuelewa, unataka kuweka google earth kwenye chrome au imeshindikana kwenye ubuntuMkuu msaada, mimi natumia google chrome zamani ilikuwa rahisi kudownload google Earth, jana nimejaribu na hiki kitu imeshindikana na nilielekezwa kwa linux, ubuntu whatever lakini niliambiwa haziwezi kufanyakazi. Sina laptop ya kawaida nifanyeje? Natanguliza shukrani.
kompyuta yako haisapoti 64?
weka full log ya terminal. Hako kakipande hakasaidii. Ni kama kumwambia daktari mimi naumwa halafu unatarajia akwambie unaumwa niniE:Sub-process /usr/bin/dpkg returned an error code (2)?
Hii inasababishwa na nini najaribu update inafeli
Fungua terminal {press Ctrl+t} then paste hii command "sudo apt-get install ubuntu-restricted-extras" bila quotes and then enter itakwambia ingiza password {huwa hazionekani} na press enter
very simple hi mkuu uwa natumia ku kama download manager ina vyote kama idm na kako simple na ina clipboard monitoring try it utaielewa tuh sudo apt-get install uget
samahani nilikuwa mbali na mawasiliano for 2 days. Ni kwamba nilijaribu kudownload Google earth ikashindikana ila kulikuwa na option ya ubuntu. Mimi ni mtumiaji wa hivi vitu ila siyo professional au mtundu nimeshapitwa na wakati. Je kama una Chrome ambayo siyo laptop yenyewe inadeal na internet tu unawezaje kudownload? Vitu vingi vinaniendesha inabidi nisubiri watoto ninapoenda kuwaona ndo wanisaidie. It is too much!kama sijakuelewa, unataka kuweka google earth kwenye chrome au imeshindikana kwenye ubuntu
ebwana dah thanks man kwa hio info muhimu saana, so hapo ni sukume to 14.04.5 lts ndo mpaka 2019.14.04 ina viupgrade vidogo ambavyo ukishavifikia inakuwa supported mpaka 2019.
uki taka ku download chochote kwenye net ifungue kwanza uget alafu nenda kwenye page yako download kitu ile ikianza tuh ku download stop alafu copy link ya download alafu fungua uget utaona enyewe imeji paste ile link yako then click start itanza ku download enywe so unaweza pause, stop au resume ni nzuriNimeiweka mkuu katika Ubuntu 16. lakini
sijui namna ya kuitumia. Nipe muongozo
Dual boot maana yake unainstall Operating system mbili kwenye kompyuta moja, na unakuwa unachagua ipi ya kutumia unapowasha pc yako. Mfano unaweza weka windows na Ubuntu. Installation yake ni simple, kama tayari pc yako ina windows installed, ukiboot Linux CD (Ubuntu, Linux mint) huwa inakupa option ya kuinstall alongside windows just click hapo itafanya partition yenyewe na kujiinstall. Na pindi utakapowasha pc utaona option ya kuboot either windows or Linux.
Mkuu deojames kwa maelezo yako ya dual boot si inawezekana kunena akaifanya hio intalation akawa na option mbili????Mi ilibidi niachane kutumia ubuntu maana nliaanza kufanya graphics design kwa adobe photoshop na illistrator basi sikua na namna zaidi ya kurudi kwenye windows kishingo upande
Simple way kama anatumia Firefox nenda kwenye menu>add-ons>extensions na search flashgot and then install. Ukisha install itakwambia restart now {browser}. Ukisharestart rudi pale pale kwenye extensions utaikuta just click kwenye preference yake ikifunguka kwenye tab ya general, download manager chagua uget pia click tab ya downloads na chagua intercept all na kwenye tab ya flashgot media, download manager chagua uget. Hii flashgot pia unatumia kudownlodia youtube videos, ukiplay YouTube utaona kiicon cha multimedia mbele ya address bar just right click>available formats na chagua video format and click hapo uget itaanza kudownloaduki taka ku download chochote kwenye net ifungue kwanza uget alafu nenda kwenye page yako download kitu ile ikianza tuh ku download stop alafu copy link ya download alafu fungua uget utaona enyewe imeji paste ile link yako then click start itanza ku download enywe so unaweza pause, stop au resume ni nzuri
Mkuu deojames kwa maelezo yako ya dual boot si inawezekana kunena akaifanya hio intalation akawa na option mbili????
Nimeuliza maana na mimi ndio hitaji langu mkuu.
If it is posible tujulishe tuelewe then tufanyie kazi.
Shukran
Sawa mkuu nimekupata sasa hio ubuntu napata wap niko chuga kwa shingpyah inawezekana. ila simple way anza kuinstall windows then ubuntu. uzuri ukishainstall windows ukiweka cd/flash ya ubuntu inakupa option ya kuinstall alongside windows hapo unachagua unataka ubuntu itumie size gani ya harddisk then continue. mimi mwenye hapa nime dual boot ila windows inapita mieze hata siitumii nikiitumia naona iko very slow kulinganisha na ubuntu yangu.
either resolution yako ya display hardware ni ndogo or kuna additional driver zinaitajika. nenda hapo kwenye startmenu ya ubuntu na search update utaona moja imeandikwa software & updates click hiyo then nenda kwenye tab ya additional drivers hapo itaanza kusearch kama zipo za graphics install then jaribu kuchange resolution tena.mkuu nimefanikiwa sasa naweza kupiga media files zote
bila ya tabu yoyote. Kwenye display nilikuwa nataka kubadilisha lakini kuna option mbili tu ya kubadili. Kuna 1024x768 na 800x600, mimi nataka 1280x1024. Msaada wako please.
View attachment 500931
just download from ubuntu.com. na ukirudi page za nyuma wadau wameeleza jinsi ya kuweka kwenye flash {kama utatumia flash} na kuinstallSawa mkuu nimekupata sasa hio ubuntu napata wap niko chuga kwa shingp