Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Mi ilibidi niachane kutumia ubuntu maana nliaanza kufanya graphics design kwa adobe photoshop na illistrator basi sikua na namna zaidi ya kurudi kwenye windows kishingo upande
mbona hata ubuntu wana softwares kali tuh kwenye graphics mfano gimp kadogo watu wana dharau ila check toturials zake utakimbia kwenye animation blender imesimama tuh try utaniambia
 
Nani anawezaku recommend SQL server nzuri ya Linux inayoweza kufanya kazi na *.xls?
 
HI asaivi natumia ubuntu i love this o.s
 
Attachments

  • Screenshot from 2017-04-13 22-32-55.png
    Screenshot from 2017-04-13 22-32-55.png
    50.5 KB · Views: 56
Linux mint ni sister os ya ubuntu, huwa inapotoka ubuntu tu na linux mint pia hutoka.

Linix mint uzuri wake inakua preloaded na codecs kwa ajili multimedia files kama sauti na video, ambapo kwenye ubuntu ukishasanikisha inabidi ufanye hivyo manually.

Ubuntu huwa inatoka mwezi wa 4 {April} na mwezi wa 10 {October} kila mwaka, hivyo kwa sasa iliyoko ni 16.10 na linux mint pia ni hivyo, mwezi wa 4 zitatoka, kwa ubuntu huwa na herufi LTS kwa maana ya long-term support kwa kawaida ni 2 years ikizidi hiyo hutapata support kama ilivyo kwa xp kwa sasa hivi, hivyo unashauriwa uwe una upgrade kila toleo jipya likitoka.....

Hongera kwa mleta uzi, tuendee kushirikishana kila inapobidi

Cheers
mint ina ni bore kitu kimoja hahaha kwanza kama windows alafu kila toleo ni jina lakike hahaha fatilia code names za kila toleo la mint utachoka majina ya kike kama android na pipi 😀
 
Nashukuru kwa ushauri. ngoja nidownload Ubuntu,
Nihamie huko nipate ladha mpya.
us

usigope iweke kwenye flash then boot kwa flash alafu chagua try ubuntu , alafu utaitumia bila ku install so hapo utakagua sauti, display, wifi, bluetooth na vingine alafu utaji ridhisha kua kila kitu kiko sawa then utamua ku install kuhusu moderm hasa hizi za huawei hazina shida zina soma kama kawa una haja ya settings mie natumia modem ya voda na iko poa tu
 
Muda mfupi ujao ntakupa mrejesho ngoja
niipakue Ubuntu
Kikawaida ubuntu version za karibuni inakuja karibu drivers zote japokuwa broadcom wireless adapter inabidi ufanye setting kidogo, kuhusu hiyo E303 modem inafanya kazi vizuri kabisa na software yake unaweza install kwenye ubuntu. na nakushauri weka dual boot(windows na ubuntu).
 
Back
Top Bottom