Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

nenda www.google.com then search ubuntu fungua link ya kwanza alafu nenda download chagua desktop utaona ushauri wangu download 16.04.1LTS hio ndo nzuri ina support hadi mwaka 2019 tofauti na hio 17.04 inakua sio stable alafu ni short term na ina manjonjo mengi tuh
Mkuu nikisha download nafanyaje ili iweze kurun
 
Pande hii tumeshindwana kwenye softwares, otherwise ubuntu 16 ni nzuri sana. Zamani nilikuwa natumia wine kuziweka lakini haiwezi kufanya kazi kwa software kubwa.
Wine pekee (vanilla) huwa inashindwa kuinstall baadhi ya software. Software ipi iliyokataa?
 
20170414_222020.jpeg
 
Hii ni desktop lakini haikubali kuconnect na wifi mpka nitumie waya
Achana na hizo WiFi unaweza kuziignore, hapo unatakiwa kucreate partition ilivyo kwenye mtindo wa fat ingia kwenye disk management.
 
JE WAJUA UNAWEZA KUTENGENEZA SHORTCUT ICON KWENYE UBUNTU KAMA ILIVYO WINDOWS OS?
kufanikisha hili kompyuta yako inatakiwa uinstall software ya launcher au kuuandika lines kwenye terminal.
kwanza install software kwa command japokuwa huwa inakuwepo moja kwa moja ila unapaswa tu aunadike code zifuatazo.
Code:
sudo apt-get install --no-install gnome-panel
halafu andika code zifuatazo
Code:
gnome --desktop-item-edit --create-new ~/Desktop
itatokea dialog ikikuuliza jina la software unayotaka kutengeneza desktop icon, na command ambayo hiyo soft inafunguliwa kwenye terminal, kwa mfano ukiwa unataka shortcut ya blender, jina la application ni blender na command yake ya kufungua application ni blender.
kumbuka kufungua terminal unaweza bonyeza ctrl+alt+T




Mkuu Kwa install Gnome katika Ubuntu 16.04.........

Code:
sudo add-apt-repository ppa:gnome3-team/gnome3-staging

sudo add-apt-repository ppa:gnome3-team/gnome3

Mkuu Hii code ina error
Code:
sudo apt-get install --no-install gnome-panel
 
Mkuu Kwa install Gnome katika Ubuntu 16.04.........

Code:
sudo add-apt-repository ppa:gnome3-team/gnome3-staging

sudo add-apt-repository ppa:gnome3-team/gnome3

Mkuu Hii code ina error
Code:
sudo apt-get install --no-install gnome-panel
tumia tu hii code hiyo command ilikuwa ni kwa gnome za zamani
Code:
gnome-desktop-item-edit --create-new ~/Desktop
 
Back
Top Bottom