Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,504
- Thread starter
-
- #61
mim nipo huko mkuu,nilishapata mwaliko wa kaz uk kupitia huo mtandao walisoma profile yangu
umeandika Comment yangu, wacha nami nifuatilie ACCOUNT yangu.
Unajiunga kama kawaida, ila kama unataka mafanikio ya haraka kwanza ni kuipamba vizuri profile yako na kupata connection ya watu mbali mbali ukianza na wale unaowafahamu. Hapo inakuwa rahisi kupata kazi ukiapply.
Asante sana jirani Shy land ... Kwa kweli kama nisingesoma hii thread nihisi ningeendelea kuwa zuzu hapa mjini... Elli ubarikiwe sana.... Na mi namuita mpenzi wangu miss chagga apitie maeneo haya... ili aanze kutafuta pesa kihalali.. Apunguze mizinga... KikulachoChako sasa uache kulalamika nafasi ndio hii... Karibu hapa!!!!!!! masai dada sijakusahau kabisa, we ni muhimu sana katika maisha yangu..
Hayo mambo yanawahusu wenzetu wasomi..sisi wabeba zege na elimu yetu ya ngumbalu....hatuitajiki mkuu..........Asante sana jirani Shy land ... Kwa kweli kama nisingesoma hii thread nihisi ningeendelea kuwa zuzu hapa mjini... Elli ubarikiwe sana.... Na mi namuita mpenzi wangu miss chagga apitie maeneo haya... ili aanze kutafuta pesa kihalali.. Apunguze mizinga... KikulachoChako sasa uache kulalamika nafasi ndio hii... Karibu hapa!!!!!!! masai dada sijakusahau kabisa, we ni muhimu sana katika maisha yangu..
Hayo mambo yanawahusu wenzetu wasomi..sisi wabeba zege na elimu yetu ya ngumbalu....hatuitajiki mkuu..........
Kamalizie vidato ndugu yangu....ngoja sisi tuendelee kusaka tonge.....maana wengine tunakula kwa jasho halisi......wakati wenzetu wanakula kwa jasho la soksi na AC maofisini..........Mkuu hako nako ni kapointi pia... Nimefungua huo mtandao nimeshindwa kuelewa chochote... Mmmmmh acha nikamalizie fom six kwanza ndo ntarudi...
kweli kaka, nilijiunga jana nikapamba vizuri prof yangu. Nimeamka leo nina connection 30 tayari...its unbelievable Ahsante sana kwa ushauri wako
Nadhani mkuu Elli atafurahi kukusaidia kwa kuleta hili wazo hapa.
Endelea kukomaa, unaweza kuanza kusearch kazi kama ukipendelea na zaidi usiogope kuapply kazi yeyote.
Just trust in yourself.
Yes, nimefurahi sana kwamba at least nimeweza au tumeweza kumsaidia mtu mmoja kati ya wengi kufanya jambo la maufaa kwake. Nimefurahi kwa kweliNadhani mkuu Elli atafurahi kukusaidia kwa kuleta hili wazo hapa.
Endelea kukomaa, unaweza kuanza kusearch kazi kama ukipendelea na zaidi usiogope kuapply kazi yeyote.
Just trust in yourself.
Ahsante, kazi unatafutaje saasa na huo mtandao ??
Kuna sehemu imeandikwa jobs, ipo hapo juu. Unaweza kusearch
Huu mtandao wa maajabu. Nimeitwa kwa interview tuesday next week
Hongera sana mkuu.
C.C Elli Heaven Sent Honey Faith grafani11 sexologist miss chagga tracy martins Murano lusungo