Basi tuendelee kutumia VPN tu nafikiri mpaka siku ya kuapishwa ndo mambo yatakua sawa.Waliachia kama dakika moja tu halafu wakakata tena
Umefanya nimkumbuke na sura yake..🤣🤣🤣 ati we ulisikia wapi..😂We ulisikia wapi
Tatizo hawatoi taarifa, inacost sana watu Kuna waliokosa michongo kisa mitandao Sio kila mtu utakua na namba zake, wengine mitandaoni ndio unawapata. Bando za watu zimeenda bure sijui zitarudishwaBasi tuendelee kutumia VPN tu nafikiri mpaka siku ya kuapishwa ndo mambo yatakua sawa.
Na Nani kakwambia🤣🤣🤣Umefanya nimkumbuke na sura yake..🤣🤣🤣 ati we ulisikia wapi..😂
Biashara za instagram zimesimama kabisa, maana si watu wote wanaoweza kuweka hiyo VPN,lakini kama hii ndio gharama ya amani, so be it!
Ukute wameweka kwenye hiyo mitandao isiyopatikana🤣🤣🤣 sijuiYeah, watoe taarifa tujue
Yule Jamaa akili zake anazijua yeyeNa Nani kakwambia🤣🤣🤣
Sms situmii kabisa labda niwe na emergency sana mno, nakuaga na dakika mpaka 450 zinaexpire sijatumia hata moja, kiukweli sivutiwi na huduma za sms na call labda kuwe na michongo wa hela. Sijui kwanini imetokea na boeka sana naweza kutumia Skype kupiga Skype call kupiga Skype au simu ya kawaida. Kuna demu chotara wa Australia na mbongo tulifamiana sana ndio alinizoesha hayo MamboTuma neno Maandamano tuone kama msg utaenda....
😂😂😂Yule Jamaa akili zake anazijua yeye
Ukileta uchoko au ubabe, wanazima kabisa na wanawapa notice pamoja na vikwazo kwa makampuni yatayofanya biashara na nyie mliowekewa vikwazo. Ila Kama haujawachokoza wakopoa sanaHivi kumbe wazungu wakizima internet tutapata tabu sana!?
Mtego unategwa unakamatwa Kama mbuzi Tena unajileta mwenyewe Bila wewe kujua, hata uko Kuna balozi au ushirikiano wa kukamata mwarifu kwa njia ya nchi nyingineSaa hizi Niko australia unataka kusema wananiona nipo Jimbo gani mkuu
Vpn najua kutumia tatizo nillog out playstore kuweka account inagomaVpn, ishushe kutoka Play store, ni kaufunguo ka kufungua au kuongezea nguvu internet
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Tuna iset vp hiyo vpn msaada nasi tupate internetVpn najua kutumia tatizo nillog out playstore kuweka account inagoma
Kuna deka vpn, tor na orbit browser Zina VPN moja kwa mojaTuna iset vp hiyo vpn msaada nasi tupate internet