Lini tutabadilika?

Lini tutabadilika?

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Wadau, nawaletea story ya kweli.ni hivi, nlikuwa na rafiki yangu (naomba nisimtaje jina ila nitawapa majina bandia.) na mpenzi wake. Huyu rafiki yangu Juma na Asha,walikuwa wanapendna na wakiishi pamoja kama mume na mke japo hawakuwa na ndoa bado.hakuna aliekua anajulikana kwa wazazi.

Kila mara walikuwa wakigombana kwa kutoaminiana.walikuwa wamepanga kw mjomba wangu.
Sku moja Juma aliaga kuwa anasafiri,kumbe alirejea usiku na kugonga mlango bila kufunguliwa na mpenzi wake Asha kwa kuwa Asha alikuwa na mwanaume ndani.Juma alilala nje kwenye sakafu mpk asubuh,na alipofunguliwa jamaa mwngne alitoka ndani, na kusababsha vurugu kubwa sana na kusuluishwa na mjomba wangu.

Kitendo hicho kilmkasirisha juma na kuahidi kumfanyizia Asha.niljtahid kadri ya uwezo wangu kuwatia moyo na kuwarudisha lakin nilishindwa.
Siku moja Juma alitoka kazini na kumwagza Asha aende dukani akamletee soda.Asha alienda huku Juma akijiandaa kuanisha fujo.Asha alipokuja tu, Juma alimkamata na kumvunja shingo, asha akafa.Juma nae akajchoma kisu na kufa.wote wakapoteza maisha ndani ya nyumba.
Police walivunja mlango na kuwatoa.

Wadau huo umetokana na wivu wa kutokuaminiana.kina kaka wenzangu,lini tutaacha mrundikano wa wapenz? Kina dada pia kuna ugumu gani kuachana na wengi wanaume?
TUBADILIKE
 
hii ni hadithi ya hadithi hadithi njoo?

mwaka gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom