Lini ni siku ya mnada wa mifugo-Mkata (Handeni)

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
146
Reaction score
100
Wadau,

Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha.

Natanguliza shukurani kubwa!
 
WADAU NA WANAFAMILIA, HAKUNA YOYOTE MWNYE UFAHAMU WA OMBI LANGU HILO JUU?
 
Kuna mtu anafanya hio biashara ya kununua mbuzi huko mkata mnadani,ngoja nitafute mawasiliano yake nikutumie
Mkuu nitashukuru sana ukinipatia hii onnection niweze kujifunza kwake huyu ndugu! asante sana!
 
Back
Top Bottom