Lini na mimi litapata hii nishani?

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Wadau heshima kwenu.
Nimeona kuanzia jana JF premier members wamebandikiwa kinishani fulani hivi cha bluu afu kama vile nakatamani! Maana mambo yangu ni "bluu bluu". Napataje kuwa JF Premium Member? Anayejua anitonye.
 
Wow! Kumbe iko hivyo madame? Mbona sijawahi kuona tangazo la kuchangia, au mshikaji unataka kuniingiza mjini? Ebu funguka zaidi.
 
Back
Top Bottom