Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
August 3 Ila sina uhakika kwasababu hawakusema NI mwaka huu au ujao.Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.