Line za Tigo hazifanyi kazi kwenye simu aina ya Tecno android, nini tamko la TCRA

Mimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.

Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.

Bt mimi natumia Huawei
 
ni kweli weka line nyingine ya mtandao tofauti simu itafanya kazi
 
Mimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.

Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.

Bt mimi natumia Huawei
Sio kweli kabisa, maelezo yako yanaonekana unataka kuharibu biashara za watu tuu. Acha wivu labda umetumwa.

Wewe tuu ndio wakujibu hivyo, mbona wenzako wanatukaribisha vizuri , hadi huwa nafurahia tuu kwenda shop za tigo just kuwaona tuu wale wadada walivyo wakarimu.
4b9075908bed0bd6b5979c5a40a342ec.jpg
 
Simple sana tupa laini ya tigo tumia mitandao mingine best.
 
Sio kweli kabisa, maelezo yako yanaonekana unataka kuharibu biashara za watu tuu. Acha wivu labda umetumwa.

Wewe tuu ndio wakujibu hivyo, mbona wenzako wanatukaribisha vizuri , hadi huwa nafurahia tuu kwenda shop za tigo just kuwaona tuu wale wadada walivyo wakarimu.
4b9075908bed0bd6b5979c5a40a342ec.jpg
Nina wasi wasi na uwezo wako wa uelewa
 
si simu za Tecno tu, zipo samsung, huawei na simu nyenginezo (tunaweza ku assume simu zote zinaweza pata hili tatizo).

wala usihangaike kwenda ofisi za tigo sababu hawajui lolote watairenew line halafu tatizo litabaki pale pale.

hili tatizo likitokea kila line ya tigo haifanyi kazi wakati mitandao mengine inafanya, lakini line hio hio ya tigo isiofanya kazi ukieka kwenye simu nyengine inafanya. pia wakati unawasha simu inaconect kama sekunde moja hivi kisha inakata

Theory yangu niliotengeneza ni kwamba huko tigo kuna mtu amekurupuka au kajichanganya ame blacklist simu nyingi sana na kuzitoa kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom