Line Yangu Ndo Inayofaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Line Yangu Ndo Inayofaa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Dec 26, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe hupwaya na ukiitikisa tu network failure, Airtel mambo ya One8 inakamata lakini milimani tu, mabondeni hamna kitu, Zantel zenyewe ukiwa karibu na bahari inakamata sijui hii ni kwa watu wa Pwani tuu au vipi, Sasa mie nina line Ya Tigo, wakuu kote inakamata hata vijijini siku hizi pia mnajua bei yake rahisi, usiku napiga, mchana napiga, jioni ndo usiombe, hamna eti network busy wakati wowote, Tatizo ni moja tu, Kuiweka mara ya Kwanza ilikuwa ngumu kidogo...hii hali kuna mtu humu imemkuta wazee?
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  wengi hawatumii Tigo labda waanze kutumia ndo watakupa feedback
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  etiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mbona ndo inasemekana watumiaji wake ni wengi sana nchini kwetu?....
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  wanaona aibu kusema wengi wanaficha..., eti mtandao mchafu
   
 5. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Home of great thinkers mwe!
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kwani we unamshauri nini......????
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nishauri kaka au imekutokea pia wewe?
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata mitandao mingine michafu tuu mkuu, tena mingine balaa
   
 9. c

  cronique Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tigo safi. We piga tu. usiku, mchana line fresh 24/7. Ukiona hiko busy, ujue kuna mtu mwingine anakupigia tigo yako
   
 10. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mimi nimeanza kutumia TIGO siku nyingi sana, tangu enzi zile za "mche wa sababuni"! Japo watumiaji wakati huo walikuwa wachache na gharama ilikuwa ni kubwa lakini alhamdullillahi nilikuwa naruhusiwa kupiga, usiku na mchana!! Naona siku hizi imekuwa fasheni, wengi wanaipenda, yaani ukipiga inanasa maramoja ha haijalishi ni kwa muda gani unataka kulonga!! SIKU HIZI TIGO NI LINE NZURI KUTUMIA NA INASHIKA KILA MAHALI!!
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu watu hawajui hii ndo mtandao unaoongoza tz na sio voda kama wanavyojali, ile kipindi si ndo ilikuwa inaitwa Mobitel au sio ikaja ikawa Buzzy ni Bomba acha bwana, nilibuzzy vibaya mno ila kwa sasa TIGO natumia kwa raha zangu...haina limit mwezi mzima napiga 24 hour a day, 7days a week, 365 days a year....
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kuna wenye line mbili mkuu, ila mie TIGO yangu mhhh inatumika once mzee....halafu wewe hujaona simu za line mbili mkuu? mkuu nimecheka hadi basi eti tigo yako inapigwa ukiona hivyo mhhhhhhhhh inabidi uswitch off...
   
 13. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmhh!!! What do u Mean????
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  TIGO express yourself ndo maana ake, wewe unatumia line gani Bongo? halafu inapendwa na wanafunzi wa vyuoni na high school acha kabisa...
   
 15. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Miss judith hivi ukidandia ile ya moshi kwa mbele itakuwaje? Mbona umeconclude mapema hivyo miss wetu? TiGo Ni kampuni ya simu Tz na nadhani hata wewe umewahi itumia au mpaka leo unaitumia sasa USODOMA sijui U THAILAND au u nini unatoaka wapi hapa......
   
 17. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haya bwana. best wishez na mawasiliano yenu, tena nasikia siku hizi ni nafuu zaidi
   
 18. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haya bwana. best wishez na mawasiliano yenu, tena nasikia siku hizi ni nafuu zaidi
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nafuu zaidi tena? Duh na voucher zake nadhani zinapatikana kiurahis zaidi au sio bibie....
   
 20. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hivi wewe si ndio nimeona mahali unalalamika kuwa umekula samaki asiye na shombo? sasa haya mambo ya kuchakachua line unadhani shombo litatoka wapi?
   
Loading...