Lindi Waandamana Kuipongeza Serikali Kununua Korosho

Maigizo yanaendelea, lilianza bunge kumpongeza Raisi kwa kununua korosho, wamekuja UWT wamempongeza, sasa ni Wana ccm wa Lindi.

Kundi gani Litafuata..?
 
Maandamano ya kusifiwa yanakubalia, ila ya kumpinga mfalme Juha hayaruhusiwi kwakuwa yanahatarisha Usalama wa nchi. Majuha yanamsifia Juha.
 
Maigizo yanaendelea, lilianza bunge kumpongeza Raisi kwa kununua korosho, wamekuja UWT wamempongeza, sasa ni Wana ccm wa Lindi.

Kundi gani Litafuata..?
The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft
 
The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft
Mmeishiwa hoja, mnatapatala tu. Huyo ndo JPM wa wanyonge
 
sema wana CCM wa Lindi.
Watafuata wa Kilimanjaro, Tanga, Mara, Mbeya n.k. Chama.tawala, chama. Dume. Siri ya kubalika wewe shughulika na wanyonge, Mabwanyenye yaache yatajibeba yenyewe.
 
Vijana wa CCM. Mungu amuongoze vyema mzee Magufuli aweze kweli kununua hizo korosho maana expectation ni kubwa sana...
 
Wasubirie wote walipwe na mzigo wote ununuliwe ndo waipongeze kwa Jumla, sio hao wachache waliopata kwanza
 
Back
Top Bottom