Umeisoma hiyo sheria mkuu??? au wapinga tuu!!lindi na mtwara waamke na waungane na wabunge wa upinzani kupinga sheria za gesi...October lindi na mtwara zote ziwe upinzani
lindi na mtwara waamke na waungane na wabunge wa upinzani kupinga sheria za gesi...October lindi na mtwara zote ziwe upinzani
Umeisoma hiyo sheria mkuu??? au wapinga tuu!!
kwani bungeni kunajadiliwa sheria ipi?? na ka nini wapinzani wanagoma?? kipindi kle mmepeleka jeshi kama mlikuwa na nia nzuri si mngepeleka miswada ya sheria?? na kwa nini mnaipeleka bila hata watanzania kujua nini mnakipeleka??? mnapeleka hati ya dharura kwani hiyo ni gesi ya ushuzi kwamba inataka kutokawaamke kivipi?wapinge sheria ipi ya gesi?unaweza kuniambia hiyo sheria inazungumzia nini?na kwanini iwe kwa Lindi na mtwara peke yake?je gesi ni yao peke yao?.....vague...
Umeisoma hiyo sheria mkuu??? au wapinga tuu!!
hawa jamaa wanafanya mambo kama wao na familia zao na koo zao wanahama keshoGesi haiharibiki hata mwakani tunaweza tukaijadili tu hiyo sheria, tunahitaji kujua humo ndani ya hiyo sheria kunaniiii. Kama ni mambo mazuri itakuwa heri ila kwa mpera mpera huu mmhh lazima kuna jambo aisee