Lindi na Mtwara amkeni

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,631
Lindi na Mtwara waamke na waungane na wabunge wa upinzani kupinga sheria za gesi.

October Lindi na Mtwara zote ziwe upinzani.
 
Pia ningependa kuwahasa wananchi wa mkoa wa Mtwara na Lindi yaani kusini nzima kuwapuuza wabunge au watu wanaokuja kuomba kura kutoka CCM kwani itikadi na utekerezaji wao hakuna tofauti na kama mnahitaji kubadili kanda ya kusini. Mfano, Hivi punde pia nimesikia Nape Nahuye anakuja jimbo la Mtama nawaombeni sana ndugu zangu msije mkampa nafasi kiumbe kutoka CCM nadhan mfano mnao wilaya ya Masasi na Lulindi hakuna la maana wabunge wao wamewahi kutetea katika miaka yao yote wakiwa bungeni na kuunga hoja ambazo hazina tija na maslahi ya Kusini.
 
wamewapiga na kuwafungia ndani..sasa lengo lao li wazi
 
lindi na mtwara waamke na waungane na wabunge wa upinzani kupinga sheria za gesi...October lindi na mtwara zote ziwe upinzani

waamke kivipi?wapinge sheria ipi ya gesi?unaweza kuniambia hiyo sheria inazungumzia nini?na kwanini iwe kwa Lindi na mtwara peke yake?je gesi ni yao peke yao?.....vague...
 
waamke kivipi?wapinge sheria ipi ya gesi?unaweza kuniambia hiyo sheria inazungumzia nini?na kwanini iwe kwa Lindi na mtwara peke yake?je gesi ni yao peke yao?.....vague...
kwani bungeni kunajadiliwa sheria ipi?? na ka nini wapinzani wanagoma?? kipindi kle mmepeleka jeshi kama mlikuwa na nia nzuri si mngepeleka miswada ya sheria?? na kwa nini mnaipeleka bila hata watanzania kujua nini mnakipeleka??? mnapeleka hati ya dharura kwani hiyo ni gesi ya ushuzi kwamba inataka kutoka
 
Gesi haiharibiki hata mwakani tunaweza tukaijadili tu hiyo sheria, tunahitaji kujua humo ndani ya hiyo sheria kunaniiii. Kama ni mambo mazuri itakuwa heri ila kwa mpera mpera huu mmhh lazima kuna jambo aisee
 
hawa jamaa wanafanya mambo kama wao na familia zao na koo zao wanahama kesho
 
Tatzo wamakonde,wamwera, wamaraba wananunulika kirahisi, October utasikia kashinda murji
 
Back
Top Bottom