Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,920
Hana point, kaona hatajwi tajwi eti mdahalo, anadhani kila mtu anataka attention kama yeye.Hivi Nyani Ngabu amepatwa na nini siku hizi? huwa napata taabu sana kumuelewa kama ninavyoshindwa kwaelewa Madiwani wanaojiudhuru
Ushachuja wewe. Piga kimya tu
Hivi Nyani Ngabu amepatwa na nini siku hizi? huwa napata taabu sana kumuelewa kama ninavyopata taabu kuwaelewa Madiwani wanaojiudhuru
Yani unakuwaje Tayari kwa kuongea 'lolote'?
umelewa?
Hivi Nyani Ngabu amepatwa na nini siku hizi? huwa napata taabu sana kumuelewa kama ninavyopata taabu kuwaelewa Madiwani wanaojiudhuru
Huyo ndugu yake kisanduHivi Nyani Ngabu amepatwa na nini siku hizi? huwa napata taabu sana kumuelewa kama ninavyopata taabu kuwaelewa Madiwani wanaojiudhuru
niweke seat napitia popcorn na pepsi baridiSeat ya mbele leo