Linapotokea hili ufanye nini?

Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
544
328
Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?
 
Me naona huyo rafk yako na hicho kiburudsho chake wote wana mawenge 2.
 
Mmmmmm.........eeeeeeee.......you?????
Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?
 
Ubinafsi tu unamsumbua huyo rafiki yako, wewe mtu anakwambia anajilazimisha tu kwako bado unang'ang'ania tu! Siku akichoka kujilazimisha utajua nyeusi na nyeupe...
 
Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?

Vijisenti tusiende mbali sana, kabla sijaamua kuwa mpweke nilikuwa na mchumba wa aina hiyo. Mwanzo tulipendana lakini baadae akageuka na kuniambia hajisikii kuwa na mimi lakini hakuniambia suala la kuachana. Baadhi ya watu wakaniambia huenda ana mapepo lakini kumbe alitokewa na mwanaume mwingine akampenda. Nikaamua kumuacha, akaanza uhusiano na mchumba mpya, baada ya mwezi mmoja yule mchumba akafariki. yaani sina raha mimi ndo nimepewa kashfa ya kumroga yule mwanaume. Yaani umenikumbusha machungu.
 
Gazeti..pole sana

mambo gani hayo sasa, si amwache tu kijana wa watu atafute watakayependana? hata kama hatuwapendagi, we dont tell them on their face like that bwana, huyo ni mkatili, hivi yeye angeambiwa si angelia siku tatu na kulala na kioo huku akijiangalia? haya, ndio maybe ule msemo the truth will set you free kaamua kuwa mkweli
 
Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?
Sasa sijui ni wewe au rafiki lakini vyovyote mhusika ni mujinga.

Vijisenti tusiende mbali sana, kabla sijaamua kuwa mpweke nilikuwa na mchumba wa aina hiyo. Mwanzo tulipendana lakini baadae akageuka na kuniambia hajisikii kuwa na mimi lakini hakuniambia suala la kuachana. Baadhi ya watu wakaniambia huenda ana mapepo lakini kumbe alitokewa na mwanaume mwingine akampenda. Nikaamua kumuacha, akaanza uhusiano na mchumba mpya, baada ya mwezi mmoja yule mchumba akafariki. yaani sina raha mimi ndo nimepewa kashfa ya kumroga yule mwanaume. Yaani umenikumbusha machungu.
Kama unatokea Rukwa unalo hilo lol!
 
Pole mkuu ndo mibongo ilivyo uchawi uchawi tu...Tena mkuu akitaka kuja tena kwako huyo msichana kimbia futi buku kabisa...
 
Mkuu hivi unataka maelezo gani...simple na clear rafiki yako kaambiwa msichana anajilazimisha....Na wewe ni ruba unang'ang'ana kubembeleza mtu hataki? Mkuu ngoja siku alie umembaka ndo utajua maana ya ushambenga...
 
Hakuna kitu kibaya katika ndoa kama kulazimisha penzi..... Madhara yaweza kuwa makubwa kuzidi mlipuko wa bomu ya gongo la mboto. Nashauri mmoja afanye uamuzi mzito kama wanavyosema wanasiasa katika jumba letu la Dodoma
 
Sasa huyo rafiki yako
Bado anafanya nini na huyo msichana
Kama ameshaambiwa hapendwi???
 
Mi naona ameshakichakachua vya kutosha hicho kiburudisho hivyo haoni jipya. Hakuna haja ya kulazimisha afanye ustaarabu mwingine asije kujuta hapo baadaye.
 
Mimi ningejitoa mapema na kujenga urafiki wa kawaida tuuuu.

Suala hapa ni kujitoa na hakuna cha mazoea wala nini!......yaani mtu hakupendi halafu unajenga nae urafiki tena.....ooooooh no
 
Back
Top Bottom