Lina Ubani....

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,727
Miaka ya mwanzo ya 1980's, kulikuwa na mjadala kuhusu hali ya nchi wakati huo baada ya vita ya Kagera.
Profesa Penina Mhando/Mlama nadhani akaandika kijitabu cha ama tamthiliya/ riwaya kilichoitwa LINA UBANI. Yaani badala ya kusema la "La kuvunda halina Ubani, yeye akasema Lina Ubani".

Sikuwa nasoma fasihi wala lugha kwa hiyo sikuwa na interest wakati huo na nilikuwa shabiki wa fikzra za Mwalimu wakati huo, kwa hiyo kumkosoa nilikuona kama uhaini.

Anayekumbuka issue hii atukumbushe maana naona hata la kuvunda linaanza kuwa na ubani.
 
Back
Top Bottom