Me ni kijana wa zamani mkuu! Nazungumzia enzi za ujana wangu! We ujawahi kujinyeto mkuu?kha! Nyie vijana mbona hivyo tena! Ngoja nianzishe uzi juu ya madhara ya punyeto!
CHAMA CHA PUNYETO TANZANIA(chaputa)
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu kiasi kwamba hawezi kuchomekea na kupita mbele za watu, hata asipokuwa na mawazo ya mapenzi bado mbegu zinamtoka tu, hajui afanyeje! Nawasilisha kwa niaba yake.....!%*¥¤..!
kwan ukisema ni wewe itakuaje? Mtu uko kwenye net hakuna anayekuona. Sasa kama ni hosptal ungesema pia ni jamaa yako ndo ana tatizo
nisingezunguka dogo! Mm mwenzako nna mke ndani, nime2lia nae bhana.
hili ni ttz linaitwa mdindocology tiba yake ni kuziba jicho la tatu kwa gunzi kila wkt kitu ikiwa ON!!
Tutajuje?

Hivi ichi chama inakuwaje mtu anajiunga,me nakumbuka ilinitokeaga ghafla tu nikajokuta ni mwanachana,ckujifunzaga wala cikuambiwa na mtu!