Lina na Amini wanatuchora!

Toa ww yako yenye mashiko upate maksi mis kesni umeambies jf,kuna mashindano ys mada hii burudani kama vp jiunge na majukwaa malum ukatoe mada zako zenye mashiko huko,,nenda kakutane na watu vichwa usituletee kujua humu,,anzisha mtandao wako uandike hayo mashiko wewe mwenyewe huna mashiko wala mashetani mko humu kuwadharau wenzenu kujifanya kujua mtaungua na jua..
 

Punguza Jazba mkuu,kutambua kuwa umekosea ni moja ya Ufaham
 


Hadithi inatufundisha nini mkuu?
 
hivi kwanini huu muda unaotumia kufuatilia maisha ya watu usipige hata punyeto me nadhani ingekusaidia
 
Mnapenda sana kufuatilia maisha ya watu
 

Hayatuhusu.sosi Mwanamalundi
 
Last edited by a moderator:

Hayatuhusu.sosi Mwanamalundi
 
Last edited by a moderator:
Crazy,wanatafuta umaarufu???????Kwa nani??????Wewe huwajui??????Hujui kama hao ni watu maarufu???????Waliupaje umaarufu wao?????Kwa sababu ya mapenzi ama kwa sababu ya kazi yao???????
 

Shit!!!Napita hawaniletei ugali mezani nyumbani kwangu.
 

Sometimes unaweza kuwaza kuwa jukwaa limevamiwa . . . ila tena unamkosa aliyelivamia!
 

hapo kwenye bold.
useme wanasumbua akili yako, sio akili zetu. wanasumbua akili zenu na nani?
 

Ona sasa ulivyo pata aibu. Kama huna cha kuandika tulia kimya. Ukome kufuatilia maisha ya watu. Karibu wachangiaji wote wametoa negative comments. Usipende kufuatilia maisha ya watu. Unawalisha wewe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…