Check settings!,au uninstall kisha uinstall upya.je kwenye hiyo laptop inayofanya kazi ina windows version moja na hiyo inayogoma kufanya kazi?kama ni tufauti,inabidi upgrade hiyo modem,waone Vodacom watakusaidiaWakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa mchezo ni huo huo? Nifanyeje? Msaada pls
Kitu kimoja kwenye settings zako. Kuna section ya connection type. Kuna RAS (Modem) na NDIS. Mimi huwa nachagua RAS connection kwa sababu connection hii ipo kama unavyotumia network cable. Kila kitu kwenye computer yako kama Windows updates na apps update kama una Windows 8/8.1. Na hiyo ya pili inatumia njia inayofanana na mobile connection. yaani metered connection. Hii ina few access kwenye apps zako. Mfano windows update zitakataa kabisa, ama zitaingia slowly. Kwa hiyo make sure unaangalia settings hizi.
ZINGATIA HILI: Kama umeset RAS, NDIS itakuwa kama limited connection, na hata kwa NDIS
Ndio ilivyo hata Kwangu but nahisi inachelewa kudetect line....kilaunapounganisha nenda kwenye my compt,then fanya kama unainstall upya,inaweza kukubali (at least kwangu) alafu hakikisha hauna software nyingine zinazosoma modem like join air,telekomsel e.t.c
Mkuu hili ni swali kweli?Hv bado mnatumia modem hadi leo khaa
kwani wewe unatumia nini mkuuHv bado mnatumia modem hadi leo khaa
Hv bado mnatumia modem hadi leo khaa