Limbwata la gundi na kamba

[emoji44][emoji848][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]nakuombea sana na kama akijaribu nitakujulisha
Dah! Mungu anisaidie aisee! Baharia mimi!

Mke wangu mtarajiwa usishawishike na huu uzi wa Mshana Jr!
Naomba sana nisije kupata mke mpenda haya mambo ya gwiji wa kilingeni hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Kashawekwa kwenye chungu huyo... Mpelekeni kwenye maombi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hata mkurugenzi wa HR department kwenye taasis yangu alimfanyia boss wetu hayo. Yule mdada mzembe, kazi za ofisi yake nyingi haziendi zimelala. Kazi ndogo anaweza kukaa nayo zaidi ya miaka miwili lakini boss anaona sawa. Wakati watu wa idara nyingine anafuatilia sana ufanyaji kazi wao.
 
Hiko kimwanamke kina dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika lugha ya kitabibu uchawi huu huwa unajulikana kama “ TEKO “ kwa sababu mtu aliye lishwa uchawi huu anakuwa kama mtu aliye tekwa na mtu mwenye silaha nzito mfano bunduki. Mtu akitekwa kwa bunduki ile bunduki inakuwa sio bunduki tena bali inakuwa “ Remote Control” ambayo kazi yake ni kumcontrol mtekwaji na kumuamuru kufanya anacho kitaka.

Mtu aliye lishwa uchawi huu hufanya kila kitu anacho amriwa kufanya na mtekaji.

Uchawi huu umeharibu maisha ya watu wengi sana. Familia nyingi zime vunjika kwa sababu ya uchawi. Watoto wengi wametelekezwa na kuharibikiwa maisha kwa sababu ya uchawi huu. Kibaya zaidi wahanga wa uchawi huu wanazidi kuongezeka siku hata siku. kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya uchawi huu pamoja na kuwazindua watu ambao tayari wamelishwa uchawi huu.



Sent using i phone x
 
Eeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Zesh. Familia inayoogozwa na mwanaume ndiyo familia nzuri na inapendeza hata machoni pa jamii.

Hata mama anapata na kufurahia haki yake ya kuwa mama, kama vile kuwatuliza watoto wake watukutu kwa kuwaambia waache utundu mara moja kabla baba yao ajarudi kuwachapa. Siyo baba ndiyo unawaambia hayo watoto eti mama atakuja kuwachapa kisa umepewa limbwata, hii hainogi hata kidogo!!!
 
Nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa watu wengi wakiniomba nitoe somo kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya uchawi huu pamoja na kuwazindua watu ambao tayari wamelishwa uchawi huu.
Kwahiyo unaiweza hii kazi ya kuwazindua waliozindikwa?
 
Baadhi ya vitu na vijua

Sent using i phone x
Haya, well-done, tutakutafuta ili utuangalie hata sisi tusiojua kama tumezindikwa malimbwata au lah. Ili tuwe na uhakika.

Maana jamii tunazoishi hivi viini macho vipo, wengine hasa wanawake wanazindikana ili mtu fulani aharibikiwe kimaisha asifanikiwe au mitoto ya jirani yake inazindikwa isiwe na maendeleo.

Hayo yote ni aina tu za malimbwata na waswahili wanafanyiziana. Japo kiimani tunafundishwa tusiabudu miungu wengine. Watu magumu yakiwazidia imani inawatoka wanakuja kwa wataalamu kama wewe walao kuchekiwa kama kuna linaloendelea kwao.
 
Kkkkkkkk,duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…