LilOmmy wa Times fm muda utazungumza

Nimeikubali promo..
Hadi mke wake duuu

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....

Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....

Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana


Mke wa mchizi....
18723757_1858200411111970_1270457970471206912_n.jpg
Umenena mkuuu ule muda wa kina samu love saa mbili had saa nne wanao tumia kupiga visungeli huo muda wange mpa jabilk afanye uchambuz wa kopo za hipop nili mfaid sana times fm kipind cha the jump off haswa anapo kua na mkali wa weki utapenda anavy mchambua
 
Back
Top Bottom