MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,046
- 1,106
Mpeni kazi ya kumfundisha Busara Hawara yake Babu!
acha hzo wewe!
Mpeni kazi ya kumfundisha Busara Hawara yake Babu!
Wivu tu sababu 'Kamanda' ana mke mzuri na katulia naye...sio mwenyekiti wenu yule wa viruka njia kila siku!
Pia kichwani yuko vizuri i like her...nimemweka kwenye list ya wanawake wanaoni-inspire
kumbe wewe unamfahamu vizuri?Mzuri huyo. Aisee.