🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana nikasema vya Eric Omondi labda ni feki, kweli anaweza kutoa hiyo hela kununua ujinga?
Kweli kabisa ni upuz mtupuPeople we are differ...the way we see things, opinion, judgement yaan Kuna mambo mengi sana hapo....
Binafsi mm siwez vaa hayo madude...
6e deHii Kwa pesa ya madafu ni takribani laki 8 na ushee....![]()
Huwezi kuvaa bila kuvuta bhangeFashion nyingine hizi![]()