EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,265
- 20,867
Du yale mazombi kwenye the walking dead kumbe ni halisi au yale ya kwenye thriller
Hiki ndio mimi ninachokifahamu nilitaka kushangaa...hahaha acha porojo mkuu, mwaka gani aliweka wazi. zilipo vuka kawaka ilikuwa 2014-15 na akajibu 'dont playing with me ya mammy got AIDS'
Lin alijitangaza kuwaka.
mentorKwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.
View attachment 1258810
Achana na picha za photoshop mkuu jamaa yupo sawa tu vita yake kubwa ni uraibu wa madude yake anayotumia na kushuka kimuziki ila si kama hiyo picha inavyotuaminishaKwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.
View attachment 1258810
Harafu-halafu daar mensNa mimi nafahamu hivyo na pili Wabongo wafahamu kuwa hao watu wana bima maalumu (kubwa) za kutibiwa hivyo wasifikili atapitisha bakuri kuchangiwa. Mwisho wafahamu kila mtu aliyepo hapa duniani ataugua au atakufa na kuugua sio kifo. Walimsema Lowassa atakufa na Mtikila akatangulia. So pambaneni na hali zenu
NB: Harafu afya yake iko fresh tu kadiri siku zinavyosonga