Lil Wayne hali ni tete...

Lil Wayne hali ni tete...

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,261
Kwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.

2019-11-09%2019.15.42.jpeg
 
1573318207341.png


ina maana lil wayne anatudanganya kuhusiana na afya yake?
hii picha ameipost kupitia account yake ya twitter mnamo tarehe 12 october.
=========================================
1573318533363.png


1573318442830.png

tarehe 30 september.
tumuamini lil wayne mwenyewe au huyu binti aliyeweka hizi picha za lil weezy aliyechakaa?
 
Unapisema zimeanza kumpa shida unamaana tattoo ndio chanzo cha hayo yote? Mara ya mwisho nlisikia alikua anaanguka kama kifafa hivi na kupelekea kuahirishwa kwa shoo kadhaa
Tattoo ndiyo chanzo cha hayo yote maana ilimtafuna sana kwa kansa ya damu hadi alienda Los Angeles USA kutibiwa lakini bado hali yake ilikuwa ni tete sana.

NB:

Los Angeles ni sehemu pekee USA inayoongoza kwa gharama za juu sana kwa huduma na manunuzi kifedha sawa na Arusha kwa hapa TZ.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom