Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,981
Duuuh mkuu pole sana,,, MUNGU mwema.Hospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepe
Duuuh mkuu pole sana,,, MUNGU mwema.Hospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepe
Pole sana. Najua unavyojisikia. Mungu akutie nguvu. Usikate tamaaHospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepe
Pole sanaHospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepe
Asante ndugu ndo duniaPole sana
Yeah mzeeJamaa anajua kuimba balaa ila shoga
Maombi yenu guys soon ntakuwa Muhimbili for treatment
Kula ugali mkubwa na samaki wako vuta shuka ulaleInakuaje hadi mtu unaingia kwenye madawa wakati madhara unayajua
Tumbo lake limejaa sperms za wanaume. Bado unalitaka?Daah hii dunia bora ipotee tu ..this is too much .Been sick for 15yrs ..huyu jamaa aniazime ata tumbo lake tu mm nakuwa millionea.God kindly save him
Umewahi kujiuliza kwa nini mtu agonge ngozi kavu wakati anajua kuna kupata ngoma?Inakuaje hadi mtu unaingia kwenye madawa wakati madhara unayajua
Hili sio swaliInakuaje hadi mtu unaingia kwenye madawa wakati madhara unayajua
Say what??Daah hii dunia bora ipotee tu ..this is too much .Been sick for 15yrs ..huyu jamaa aniazime ata tumbo lake tu mm nakuwa millionea.God kindly save him
Poleeee 15 yrs daaah Mungu akutie nguvu na faraja stay coolYes ! Mm APA 15yrs naumwa
JamaniiHospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepe